Wana JF kuna hz modem ambazo zinaingia line yoyote,speed yake ikoje katka kufungua page na kudownload video,na hawa ISP modem gan inaspeed mzuka (zantel,tgo,airtel,vodacom)Zantel Morogoro wanafika?
ingea sehemu ya search halafu andika chakachua modem utapata jinsi ya kuchakachua modem na kingine kama hiyo modem yako ni hizi mpya bado ufumbuzi wake wengi ni tempo tu ukiichoma inarudi kama mwanzo..