Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 579
- 887
.......duu! hatari sana, inakatisha tamaa aisee.....🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha kunakipindi nilifungua biashara, Tena enzi hizo watu wanaendesha biashara hata leseni hawana na maisha yanaenda tu...
Marekebisho kidogoTRA kuweni serious !
Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea,nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia...
Meneja alikujibu vipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umenikumbusha kunakipindi nilifungua biashara, Tena enzi hizo watu wanaendesha biashara hata leseni hawana na maisha yanaenda tu. Mimi nikajifanya nimeelimika lipa Kodi bila shuruti, chapu huku nishaipata fremu nikaenda manispaa kukata leseni.
Pale kwenye leseni wakaniambia nipambanie Tin namba kwanza, kweli nikasogea TRA nipo moto kweli. Basi nikakadiriwa na Kodi nitakatopaswa kulipa Kwa mwaka japo itakuwa Kwa hawamu. Nikafungua biashara miezi sita biashara ya moto naiendesha Kwa hasara.
Nikaona hapa nitapoteza mtaji Bora niifunge kwanza. Niliposogea TRA kwenda kusitisha biashara nikaambiwa andika barua kwenda Kwa Meneja.
Baada ya wiki tatu nikaambiwa nikachukie barua yangu meneja ashanijibu, Ile nafungua ndani naambiwa nadaiwa 180000 Kodi ya miezi sita. Nikamfuata meneja nikamwambia hivi kama ningekuwa napata faida biashara ningeifunga kweli? Kwa hiyo mnataka kula mtaji wangu?
TRA hawana shida, kujieleza wanakusikiliza na kukishauri vizuri, shida ni leseni na kodi uchwara za halmashauri hawatoshewki na leseni, mara kodi ya taka halafu hakuna taka, mimi nafagia karatasi chacha na kuzichoma, bado kodi ya mabango kodi kubwa kweli, sasa watu wameamua kuondia mabango, sijui hawana tax consultant, inatoza bango kudi kubwa halafu watu wanaondoa mabango si bora utoze kodi ya elfu 15 ili watu wasishushe mabango waendelee kulipa kodi.TRA kuweni serious !
Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia.
Mwenye Nyumba ya kuishi anataka kodi kabla sijaingia,Manispaa wanataka kodi ya Leseni na Kodi ya Ushuru wa huduma kabla sijaanza Biashara.
Osha wanataka Kodi,Zimamoto Kodi,Wakusanya taka Kodi,Sungusungu Kodi,nk
Manunuzi yoyo te ninayoyafanya hata kama nakunywa soda nalipa Kodi.
Ukigeuka huku kuna Kodi ya Ardhi,jengo,sijui na vitu gani!
Bado Mamlaka zina yake sijui kupima Afya wafanyakazi Kodi,kulipia Leseni za Taaluma Kodi.
Bado Maafisa wa Serikali wanataka Kodi za Familia zao kila wakija kukukagua.
Hizi Kodi zinalipwa vipi jamani!Hata mtu akishindwa au akikwepa analaumiwaje?Ni biashara gani utafanya uweze kulipa utitiri wa kodi zote hizi bila kufilisika?
Serikali haioni tatizo ikaja na Mamlaka na Sheria moja tu ya kukusanya Kodi ukilipa umemaliza vyote?
sasa ndugu mtanzania kama hadi leo wapangaji hamjasort out suala la kodi ya jengo kupitia luku na mwenye nyumba, serikali ina haki ya kutunyonya tu, tuongezewe kodi zaidiBado Tozo ya 2000 kila laini ya simu itaanza , hapo luku unamlipia mwenye nyumba 1500 kila mwezi
CCM MBELE KWA MBELE ACHA KULIA LIATRA kuweni serious !
Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia.
Mwenye Nyumba ya kuishi anataka kodi kabla sijaingia,Manispaa wanataka kodi ya Leseni na Kodi ya Ushuru wa huduma kabla sijaanza Biashara.
Osha wanataka Kodi,Zimamoto Kodi,Wakusanya taka Kodi,Sungusungu Kodi,nk
Manunuzi yoyo te ninayoyafanya hata kama nakunywa soda nalipa Kodi.
Ukigeuka huku kuna Kodi ya Ardhi,jengo,sijui na vitu gani!
Bado Mamlaka zina yake sijui kupima Afya wafanyakazi Kodi,kulipia Leseni za Taaluma Kodi.
Bado Maafisa wa Serikali wanataka Kodi za Familia zao kila wakija kukukagua.
Hizi Kodi zinalipwa vipi jamani!Hata mtu akishindwa au akikwepa analaumiwaje?Ni biashara gani utafanya uweze kulipa utitiri wa kodi zote hizi bila kufilisika?
Serikali haioni tatizo ikaja na Mamlaka na Sheria moja tu ya kukusanya Kodi ukilipa umemaliza vyote?
Aliniambia huo ndio utaratibu pambana ulipe hiyo pesa. Aisee, nikajaribu kuomba omba ushauri Kwa wadau wakaniambia Kwa sababu ushakuwa registered Kwa jina lako huko mbeleni watakuja kukukamata iwapo itafungua biashara nyingine. Tena utalipa na riba. Kiukweli niliilipa lakini sikuhizi naenda nao kiakili SanaMeneja alikujibu vipi?