Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
kibao katauwakilishi kwenye mashindano gani?...
Hata akiwa bibi na babu kama ndio wanaanza hao ni wachumba!!! [emoji8] [emoji8]Hivi huyo bado ni mchumba?! watoto wangapi sijui idadi... wengine wa huyu, wa yule aah!... sijui maana ya neno 'mchumba' kwa sasa...
[emoji3] [emoji3]kibao kata
mchumba tu mkuu ata awe na miaka 100Hivi huyo bado ni mchumba?! watoto wangapi sijui idadi... wengine wa huyu, wa yule aah!... sijui maana ya neno 'mchumba' kwa sasa...
Very trueHuyo ndo sampuli ya vijana wa CCM.