N'jomba-N'tu
Member
- Aug 17, 2015
- 55
- 20
Hizi kampuni za wakala wa ajira hivi zinalindwa na nani? maana zinawanyonya sana vijana wetu ( vubarua ) na hazichukuliwi hatua zozote. Waziri wa kazi na ajira aliyepita Mama Gaudence Kabaka aliziambia hizi kampuni zote za wakala wa ajira ziondoke na vibarua wote wawe chini ya kampuni lakini hata hivyo nguvu za waziri yule hazikuweza kufua dafu mbele ya hizi kampuni na hadi Leo zipo.
.
Kampuni kama Ero-link hadi leo ipo na inaendelea tu kuwanyonya vijana wetu. Serikali zimulikeni hizi kampuni za wakala wa ajira. Hizi kampuni zidhani kwamba ni MAJIPU. Mi nadhani hivi ni vipele tu ambavyo vinahitaji kutumbuliwa pia.