hizi KAMATI zina hela ngapi maana chadema mmenuna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hizi KAMATI zina hela ngapi maana chadema mmenuna

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Majasho, Feb 12, 2011.

 1. M

  Majasho JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ivi hizi kamati kama za cheyo, na mrema na zitto zinalipa kiasi gani.. kuna mshahara tofauti au.. au ni hizi posho za kuzunguka... mi sijawahi hata kusikia ofisi ya pac au laac

  nijulishe
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kaoge kwanza uondoe majasho, then come back nitakujulisha.
   
 3. mpiganaji jm

  mpiganaji jm Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushauri ukamuulize hamad rashid, coz huyu ndo amepigana kubadilisha sheria za bunge ili aingie kwenye kamati!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:msela:
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Umesikia kuna pesa?
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mpiganaji with respect HR hakugombea nafasi tajwa na hakuwahi kuongoza hizo kamati hata bunge lilopita Cheyo na Zitto walikuwa wenyeviti wa hizo kamati na mmoja alitoka CUF. Ila nijuavyo kuna pesa nyingi sana kwenye kamati especial wanaposafiri kama mfano hizi safari zitakazoanza za kamati ya madini ni pesa tu per diem za kufa mtu + other costs.
   
 6. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45

  pole you are very behind,hizi kamati ndiyo zile zinazokagua mahesabu ya serikali(pac) mashirika ya umma (poc)ndiko fedha nyingi za wahisani na serikali hupotelea.na laac ndiyo inayofanya ukaguzi wa hesabu za serikali ndani ya halimashahuri ambako miradi na fedha za wafadhili kuliwa.

  Chama cha upinzani kazi yake ni kukosoa na kudhibiti serikali kufanya ubadhinalifu.na hizi ndizokamati keen.
   
Loading...