SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Hamjambo wote wanachitchat?
Muda mrefu sijaleta thread hapa cc ila leo imebidi nicharaze
mistari kadhaa kuelezea kitu kinachonishangaza na kunisumbua.
Kitu hicho ni matumizi ya hizi herufi tatu - lol. Upekuzi
wangu umeniambia kwamba lol ina maana ya laugh out loud.
Sasa mtu anapoandika lol kila baada ya sentensi moja ana maana gani?
Kwamba ni yeye anacheka kwa sauti kubwa au anamwomba mtu
anayesoma hiyo thread yake acheke kwa sauti kubwa? Nashindwa
kabisa kuelewa matumizi ya lol kwenye thread au komenti.
Na kwa nini iwe lol na siyo los? Ningependa iwe los (laugh out softly)
Tuwe waangalifu jamani na hivi vifupisho vya wamarekani.
Wao wana sababu ya kucheka kwa lisauti likubwa (lol) kwa
sababu katika nchi yao waweza kugeuza ulicho nacho kuwa utajiri.
Huku kwetu nikizunguka mitaa kuuza magazeti nafukuzwa
na mgambo wakisema nachafua jiji/mji/.Halafu unaniandikia
eti lol! Tafadhali aisee!
Kinachonistaabisha zaidi ni pale wanaJF wengine wanatumia
hata sperlative ya lol - lolest! hasa akina dada.Really? You
want me to laugh the loudest or is it you laughing the loudest?
Sasa natoa tamko. Nikikuta kwenye thread yako umebandika
lol au lolest nitachangia kwa kuandika hivi: lol/lolest yako
imenikwaza! Basi, ni hivyo tu.
Trademark words/symbols zinazotumiwa na wanajf ambazo
hazinipi shida ni za hawa wafuatao:
mia ya figganigga
weraaaaa ya lara1
< na > za Himidini
nalog off ya Washawasha.
Quote master ya ? huyu mdau kapotea simwoni JF
Hayatuhusu ya Mwanamalundi
Na nyingenezo nilizosahau.
Bye bye lol/lolest!
Attn: miss chagga The Boss Karucee mrsleo mwallu Dinazarde Kibo10 na wengine
wote.
Asanteni