Hizi hapa aina mbalimbali za ndoa

11.Ndoa ya kuonekana umeolewa au umemuoa fulani kwasababu ya uzuri au mali alionayo..
 
Hkuna mabadiriko yoyote,zamani kulikuwa na michepuko kuliko sasa ila watu walikuwa wanamalizana kiutu uzima,pia kukua kwa tekinologia kumeongeza mambo kuwa wazi zaidi
 
NDOA ZA UJI:

Hizi ndoa zinafungwa mwezi mmoja kabla ya mwezi mtukufu (Ramadhani) kufika, ramadhani ikiisha kila mtu na kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom