Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

Aisee nyie wanaume hapa mnajadili nini?

waacheni kinamama wajadili vinavyowahusu.

Manake muda si mrefu mtauliza wanabeba always za nini........

Agrrrrrrrrrrr babu amekasirika.
 
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
Kioo
Poda
Wanja
Lips shine
Lips stik
Handchef
Lotion
Ch**i
Kanga
Wembe
Pedi
Kitana
Je vyote hv vya nini jamani yani kama vile mnakwenda vitani?ok nyie kinadada 2ambieni hv vyote vya nini?Utakuta hata kwenye daladala anatoa kijikioo kidogo either kimepasuka au la anaanza mambo yake.yani ukibahatika kuuokota huambulii ki2

Sina la kusema. Ila tu hapo penye red, sijakuelewa (bahati=manufaa=faida), una maana gapi kwa maana halisi ya "bahati"?????????
 
Aisee nyie wanaume hapa mnajadili nini?

waacheni kinamama wajadili vinavyowahusu.

Manake muda si mrefu mtauliza wanabeba always za nini........

Agrrrrrrrrrrr babu amekasirika.

Well said Kaka

Tunaitaga kudandia gari kwa mbele, kunywa :ranger: kupunguza hasira.
 
Well said Kaka

Tunaitaga kudandia gari kwa mbele, kunywa :ranger: kupunguza hasira.

Na nyie kina dada mijadala kama hii inayowahusu mambo yenu binafsi kwanini hamuipotezei?

Mwisho wa siku itaanzishwa sredi hapa kwanini kina mama wanavaa khanga misibani?
 
Wanobeba vipodo vingi hawajiamini binafsi navutia sana lkn niko simple huwezi nikuta na fresh make up saa 10 jioni , kama mrembo sapliment nyingi zinahuuuu
 
Wanobeba vipodo vingi hawajiamini binafsi navutia sana lkn niko simple huwezi nikuta na fresh make up saa 10 jioni , kama mrembo sapliment nyingi zinahuuuu
Thank you carefree kama we ni mzuri ma make up ya nini?aaaaagh
 
Back
Top Bottom