Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,535
1,651
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
Kioo
Poda
Wanja
Lips shine
Lips stik
Handchef
Lotion
Ch**i
Kanga
Wembe
Pedi
Kitana
Je vyote hv vya nini jamani yani kama vile mnakwenda vitani?ok nyie kinadada 2ambieni hv vyote vya nini?Utakuta hata kwenye daladala anatoa kijikioo kidogo either kimepasuka au la anaanza mambo yake.yani ukibahatika kuuokota huambulii ki2
 
Mwanamke shurti kujiremba eehhh tena utuache umesahau na hivi:

Toilet paper
Deodorant
Perfume
Na vingine kibao
 
Tunabeba ili hivyo tulivyoish jipaka vikiyeyuka,kuchafuka au kufutika tukila na tukinywa kuvirudishe sehemu yake tuzidi kuwa warembo wakati wote...........lol:coffee:
 
Unako kwenda ndugu yangu kubaya. Hiyo mikoba ya kina mama ina maana kubwa sana. Wewe mwenyewe ukiwakuta wanavyo meremeta hapo njiani unafurahia, mahitaji ya wanaweke kwa jinsia yao pamoja na matarajio ya jamii kwa ujumla yanawafanya wabebe vyote wanavyo vihitaji. Mimi nafurahi sana ninapokutana na mwamke aliye nadhifu, anayenukia vizuri na aliye msafi kwa ujumla wake. Mwanamke anathamani kubwa sana kwa jamii kutokana na unadhifu wake bila kuangalia kigezo cha mambo ya ndani ya mtu, hata kwa viongozi wanawake unadhifu una nafasi yake. Pia hata mke wako akiwa nadhifu kimavazi na hata kujiremba utamuona kila siku anathamani kubwa sana kwako, akiwa hana nilivyo vieleza utaanza kumuona hana hadhi kwani wengine unaowaona wanakuwa wapo nadhafi na kujiremba muda wote. Kwa ujumla wabebe hivyo vitu kwani ni usalama wa usafi na unadhifu wao ambao jamii inategemea kutoka kwao.
 
Kumbe amesahau na vingine, wengine huwa wanabeba toilet paper bundle mbili, pakti moja ya nyembe(Sijui ya nini pakti nzima)

hahahah lol
tuanze na macho
eye liner
eye lashes
eye shadow
mascara (times 2)

mdomo
lipgloss
lipstick
lipensal

uso ..
water make up
powder make up
canceler
Blasher

hapo kuna ma brash kama sita hivi..
ni hii ni kwa mtu ambae havai make up sana usoni tu..
 
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
Kioo
Poda
Wanja
Lips shine
Lips stik
Handchef
Lotion
Ch**i
Kanga
Wembe
Pedi
Kitana
Je vyote hv vya nini jamani yani kama vile mnakwenda vitani?ok nyie kinadada 2ambieni hv vyote vya nini?Utakuta hata kwenye daladala anatoa kijikioo kidogo either kimepasuka au la anaanza mambo yake.yani ukibahatika kuuokota huambulii ki2

Mimi hapo kwenye red tu ndo nimepapenda
 
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
Kioo
Poda
Wanja
Lips shine
Lips stik
Handchef
Lotion
Ch**i
Kanga
Wembe
Pedi
Kitana
Je vyote hv vya nini jamani yani kama vile mnakwenda vitani?ok nyie kinadada 2ambieni hv vyote vya nini?Utakuta hata kwenye daladala anatoa kijikioo kidogo either kimepasuka au la anaanza mambo yake.yani ukibahatika kuuokota huambulii ki2

Kila kitu hapo kinatumika na kinahitajika kila kinapohitajika, sasa kwa nini tusibebe baba.
Hata hivo kuna vingine hujavitaja pia.
Na hivo ndivyo vinavyotutofautisha sisi nanyi wanaume.
 
hahahah lol
tuanze na macho
eye liner
eye lashes
eye shadow
mascara (times 2)

mdomo
lipgloss
lipstick
lipensal

uso ..
water make up
powder make up
canceler
Blasher

hapo kuna ma brash kama sita hivi..
ni hii ni kwa mtu ambae havai make up sana usoni tu..
Umesahau na vitana kama sita hivi na khanga ukiona handbag ilivyotuna kama kuna hela vile ametoka benki kuna siku kibaka mmoja alimuibia dada mmoja begi lake ndani yake aliambulia eye shadow, lipstic, lip gloss, toilet paper, wembe, khanga, kulikuwa pia na pedi mbili ambazo hazijatumika
 
hahahahah lol
huyo anabahati sana lol
hhahaha lol angepata zilizotumika
angeacha kuiba vya watu lol

nwya my dear nite nite..:mwaaah::mwaaah::A S 11::A S 11:
 
Back
Top Bottom