Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

Sitaki kuingilia privacy ya mama zangu ila kwa list uloiweka hapo juu nadhani acha tu wawe navyo si unajuwa walivy maua? wanapendeza na kutupa moyo. Nilipo hiyo mikoba inaitwa self contained, wangine wanaiita "nilale wapi"
Sawa wapewe heshma but wakina mama c sana kama ilivyo kwa kina dada duh
 
without a spare tyre si vizuri kwenda safari ya mbali unless upo jirani na kwako hata ukipata pancha unarudi kwa mguu
 
we want to feel confortable everywhere we go no wonder we keep all those stuff in our handbags
 
Umesahau sindano uzi, viatu.
Sisi ndio tunajua umuhimu wake.
Lol!
Begi likiwa kubwa tunabeba na maandazi/mihogo ya kunywea chai ofisini. Lol!
 
Umesahau sindano uzi, viatu.
Sisi ndio tunajua umuhimu wake.
Lol!
Begi likiwa kubwa tunabeba na maandazi/mihogo ya kunywea chai ofisini. Lol!
Jamani nilikumc sna nildhani mpaka nakwenda kulala hujapost hapa ningeandamana husninyo ulikua wapi leo jamani?
 
Umesahau sindano uzi, viatu.
Sisi ndio tunajua umuhimu wake.
Lol!
Begi likiwa kubwa tunabeba na maandazi/mihogo ya kunywea chai ofisini. Lol!
Jamani husninyo na sindano?zanini tena kwani kunaku2mbuana jipu tena.
 
msisahau dada ze2 ndio mabaloz wa personality zao wenyewe..hvyo umaridadi ni muhimu..nawe ukipenda ka2ngue m1 ujaribu...
 
Jamani nilikumc sna nildhani mpaka nakwenda kulala hujapost hapa ningeandamana husninyo ulikua wapi leo jamani?

nilikuwa busy kidogo mpendwa ila si unajua mambo ya kupost via mobile, tukipata kiupenyo tunachungulia.
 
Jamani husninyo na sindano?zanini tena kwani kunaku2mbuana jipu tena.

sindano huwa tunashonea vimini vyetu maana sanyingine huwa mipasuo inaongezeka.
Lol!
Halafu zikiwa zimetubana sana huwa zinatatuka pembeni.
Leo umetuamulia!
Mmh!
 
sindano huwa tunashonea vimini vyetu maana sanyingine huwa mipasuo inaongezeka.
Lol!
Halafu zikiwa zimetubana sana huwa zinatatuka pembeni.
Leo umetuamulia!
Mmh!
Ucjar pole kwa majukumu ya kutwa.nilfkiria sna why kila ukimuona katoka ana handbag nikaona ngja niulize kunani mle?ucku mwema mama cm itazima muda c mrefu.
NB:Nawapenda wote mlopost kwenye post yangu god bles all.g9t
 
Miaka ya nyuma nilitoka na dada mmoja alikuwa na begi kubwa sana nikamuuliza umebeba nini akaniambia utaona asubuhi,usiku ule alikuwa amevaa mini sketi na top,chini kavaa highheels.Tukaenda club na baadae kulala kwangu.Asubuhi alipoamka na kuoga nikaona kavaa gauni ni viatu vya chini na kijipamba balaa nikakumbuka maneno yake ya usiku.
 
maneno hayoooooooooo..
:clap2::clap2::clap2:
 
Halafu ukiwa safari usiombe ukae nao siti moja kwenye basi, wanakuwa na vimzigo vingi vingiiii yaani hata pa kuweka miguu inakuwa shida, shopping njia nzima!
 
Back
Top Bottom