luteni hao mwaziri unadhani wanaishi blue pearl au protea?
Thae fact is wanaishi kwenye "nyumba zao" halafu hiyo invoice ikilipwa wanagawana na wenye ma-hotel pasu kwa pasu!
Baadhi wanaishi Ubungo Plaza ambako gharama ni dola za Marekani 105 kwa siku wengine wanaishi Protea ambako kwa siku ni kati ya dola za Marekani 155 na 180.
Sababu wanazotoa,
1. Nyumba walizopangiwa bado zinafanyiwa ukarabati
2. Nyumba walizopangiwa bado zinakaliwa na mawaziri waliomaliza muda wao
3. Nyumba za mawaziri zina masharti mengi ikiwemo kutolima bustani na kuweka mifugo(kwani huko mahotelini wanaruhusiwa kuweka mifugo?)
4. Nyumba walizopangiwa ni ndogo n.k nk.
Swali langu; ni kwanini mawaziri wakose uzalendo kiasi hiki kwa kuridhia matumizi makubwa wakati wengine wana nyumba zaidi ya mbili hapo hapo Dar?
Na kwa nini serikali iendelee kupoteza mamilioni kwa siku pasipo na sababu za msingi haioni kuwa hayo pia ni matumizi mabaya ya kipato cha Taifa.
Inauma na inakera sana kuona vitendo hivi vinafanywa na viongozi wa nchi masikini kama Tanzania ilhali serikali ikiangalia, tuseme wao si sehemu ya jamii kuwa kubana matumizi ni kwa watu wa kipato cha chini tu wao haiwahusu.
Soma zaidi Nipashe Jumapili Home

Sintochangia hii thread mpaka unipe hayo majina ya Wateule walio katika hizo Hotel.Vinginevyo utakuwa uzushi kwani upelelezi tena wa usiku mpaka kujua ubavu wao unalala wapi ni issue si ya kitoto,lazima unawajua kwa sura na majina.Yalete tafadhari!
Jamani..this is too low..Luteni hao mwaziri unadhani wanaishi Blue Pearl au Protea?
Thae fact is wanaishi kwenye "nyumba zao" halafu hiyo invoice ikilipwa wanagawana na wenye ma-Hotel pasu kwa pasu!
Jamani..this is too low..
Sitaki na siwezi kuamini
Na kwa nini serikali iendelee kupoteza mamilioni kwa siku pasipo na sababu za msingi haioni kuwa hayo pia ni matumizi mabaya ya kipato cha Taifa.
Inauma na inakera sana kuona vitendo hivi vinafanywa na viongozi wa nchi masikini kama Tanzania ilhali serikali ikiangalia, tuseme wao si sehemu ya jamii kuwa kubana matumizi ni kwa watu wa kipato cha chini tu wao haiwahusu.
Home
Mkuu umenena vizuri,Luteni kwanza nikushukuru kwa post nzuri inayojali maslahi ya nchi. Posts zako nyingi ziko kwenye mtazamo chanya wa kuipenda nchi yako-big up sana.
Mbili nimehilight maneno hapo juu ya serikali na mengine yenye kufanana nayo. Huna napenda sana matangazo ya USAID redioni, kwenye tv, magazeti na kwingineko. Kikubwa ambacho kinanigusa ni kile kibwagizo cha "Kwa hisani ya Watu wa Marekani-From American People" Ni ukweli kabisa kwamba hizo pesa huwa zinakuwa zimetolewa na serikali ya Marekani lakini source ya hizo pesa ni walipa kodi wa Marekani. Mimi nadhani ifike mahali tuwe hivyo sisi pia. Badala ya kusema serikali inapoteza pesa tuseme kodi za watanzania zinapotea. Kuna watu ambao kwa sisi kuendelea kutumia neno serikali kunawafanya wadhani sio wao wenye hizo pesa so wanakosa uchungu nazo. Nitafurahi sana siku nikiona bango la ujenzi wa barabara linasomeka "Barabara inajengwa na watanzania na serikali ya Tanzania". So
So ni sisi tutakaolipa hayo madola huko kwenye hizo 5 star hotels ili hao wajinga na familia zao wandelea kuenjoy huko ilihali wahanga wa mabomu hawana hata sukari ya uji. Ni kodi zetu ndizo zitakazopotea na si pesa za serikali.
Mama,Jamani..this is too low..