ni uelewa wako mdogo tu. hilo zoezi mbona lipo kitambo sana. tatizo lenu mnakurupuka tu. kwa nini msiulize kwanza kuliko kukimbilia kulaumu? tumieni akili, sio kila kitu kupinga tu.Wadau,
Kwa muda sasa serikali inagawa pesa katika vijiji na wilaya mbalimbali kwa kisingizio cha kuwapa kaya masikini hii sio rushwa kwa hizi kaya zinazoitwa masikini tunapoelekea uchaguzi wa mwaka huu?
Wadau,