Hizi dalili kwa ccm sio nzuri

Hizi dalili kwa ccm sio nzuri

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
Mikoa ya kusini na ukanda wa pwani bahari ya hindi wanaonekana kuamka sasa. hii sasa ni fursa ya vyama vya siasa kuelekea kujiimarisha.
 

Attachments

  • mtaji wa ccm2.jpg
    mtaji wa ccm2.jpg
    45 KB · Views: 129
Ninavyowafahamu ccm, hawatastuka hata kidogo. Watavilaumu vyama vya upinzani (hasa kimoja).Baada ya lawama watakaa kimya!
 
Kwa hiyo fastjet ni moja kati ya zile chopa za G.Lema?
 
Naungana na bango (MHE. KIKWETE,TATIZO SI GES MIKATABA IPO WAPI)

Mikataba na elimu ya uraia kuhusu manufaa ya hiyo ges ndiyo ilitakiwa kuwa wasi kwa wananchi wote.Tatizo lililopa kwa wananchi kwa sasa ni kutowaamini kabisa serikali na hii inatokana na utata kama wa mengi ambayo serikali imekuwa kimya
mfano
1.mikataba ya madini ipo wapi
2.utata wa Richmond,dowas,symbions
3.Pan african
4.meremeta
5.wezi wa EPA
6.wezi wa ununuzi wa vyombo vya serikali RADAR
7.UDA
8.wengine mahela yapo Uswisi na nchi nyingine
9 etc
Serikali imekaa kimya kama vile haijui chochote sasa wananchi kwa nini wasiwe na wasiwasi??
Hapo hapo hujazungumnzia deni la Nje la serikali kufika 20B usd kwa kipindi kifupi wakati hiyo miradi ya maendeleo haionekani alafu kila siku kwenye vyombo vya habari kuwa tumetengeneza mabarabara wakati ni mikopo

Semeni tumekopo shs kadhaa na tumetengeza hii barabara na mengine mengi

kwa mtanzamo wa haraka watanzania wengi wataunga mkono juhudi za wanamtwara ili serikali iweke mambo wasi bila hivyo hali itakuwa tete
 
Back
Top Bottom