Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,925
- 5,405
Huyu jamaa muongo sana, hii picha sijui kaiokota wapi.Huo mpango upo lakinj barabara aliyoipost haipo Arusha
Barabara kubwa kwa sasa ni moja tu kuanzia Tengeru mpaka Sakina.
Barabara nyingine mpya ni ile inayoanzia Usa River kupitia Njiro, Kisongo mpk Ngaramtoni kibaoni.