Hizi barabara anazojenga Magufuli Arusha ni hatari ona hiii

Hivi CCM mkoje????

Ni kweli kwamba wote Ni mazwazwa hamna akili???????

Hi Barabara Ni mpango wa East Africa Community na inatakiwa ipite kwenye nchi zote za East Africa......

Kwetu itaanzia Namanga Hadi Holili.....na kwasasa imefika pale USA......

NA ILIFUNGULIWA NA MARAIS WA EAST AFRICA......

Acheni Bla Bla jombiii
 
Mbona Ma Rais wengine huko nje hawafanyi maendeleo kama Magufuli
Hivi Mtaacha lini kulamba miguu?
Haujui Kama huo Ni wajibu wake?
Tulimchagua ili asimamie Kodi zetu na kuzipeleka mahali husika.
Mnavyosifu inamanisha anatoa pesa zake mfukoni.
 
Hivi CCM mkoje????

Ni kweli kwamba wote Ni mazwazwa hamna akili???????

Hi Barabara Ni mpango wa East Africa Community na inatakiwa ipite kwenye nchi zote za East Africa......

Kwetu itaanzia Namanga Hadi Holili.....na kwasasa imefika pale USA......

NA ILIFUNGULIWA NA MARAIS WA EAST AFRICA......

Acheni Bla Bla jombiii
Huo mpango upo lakinj barabara aliyoipost haipo Arusha
 
Back
Top Bottom