Hizi ajali zitatumaliza!

Hizi ajali zitatumaliza!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Watu wanne wamepoteza maisha papo hapo baada ya taxi kuvaana uso kwa uso na lori maeneo ya kinyanambo,mafinga mkoani iringa.Ajali imetokea baada ya taxi kujaribu kumkwepa mwenda kwa baiskeli na hatimaye kulivaa lori.R.I.P Kwa wale waliopoteza maisha.Source:Ebony Fm.
 
dah...izi ajali za kila siku zinatumalizia ndugu.
wapumzike kwa amani marehemu wa ajali hiyo.
 
Watu wanne wamepoteza maisha papo hapo baada ya taxi kuvaana uso kwa uso na lori maeneo ya kinyanambo,mafinga mkoani iringa.Ajali imetokea baada ya taxi kujaribu kumkwepa mwenda kwa baiskeli na hatimaye kulivaa lori.R.I.P Kwa wale waliopoteza maisha.Source:Ebony Fm.
Dereva taxi hakuwa makini kwenye uendeshaji, kama kulikuwa hakuna uwezekano wa kumkwepa mwenda kwa baiskeli alitakiwa amvae, ni bora apoteze maisha ya mmoja kuliko zaidi ya mmoja.
 
jamani hizi ajali sasa zinazidi.
R.I.P marehemu wote.
 
Nyingine imetokea maeneo ya Nyororo imehusisha basi la Upendo na Lorry
 
Dereva taxi hakuwa makini kwenye uendeshaji, kama kulikuwa hakuna uwezekano wa kumkwepa mwenda kwa baiskeli alitakiwa amvae, ni bora apoteze maisha ya mmoja kuliko zaidi ya mmoja.

Mkuu sio rahisi kufikia maamuzi hayo. Anyway mwendesha baiskeli aligongwa ila hakufariki. Idadi ya waliotutoka ni watano
 
Tuishi kwa IMANI kwn hz nyakati si yenyewe kbs! Marehemu walale kwa AMANI!
 
Dah, kila siku Jamani???? Inatosha sasa wananchi tuamke dhidi ya hawa madereva wazembe wanaocheza na roho zetu...
 
Back
Top Bottom