Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Duh,hao Ndo wanaume wanakupa siku na muda.[emoji2935]
Yanatimia, Waisrael wanamambo mawili TU ya kufanya,wafie ndani au wahamishwe.
Baada ya week moja tutaulizana nani kahamishwa
Duh,hao Ndo wanaume wanakupa siku na muda.[emoji2935]
Yanatimia, Waisrael wanamambo mawili TU ya kufanya,wafie ndani au wahamishwe.
Lakini si HAMAS wanaelekea kushinda hii vita Mkuu,maana IDF wao wanapiga tu wanawake na watoto.Tuwaachie HAMAS wawafunze adabu IDF na huna haja ya kuwa na hofuMwelekeo wa huu mgogoro si mzuri .na sisi tutaathirika sana huku ila wengi hatuelewi tunaendekeza ushabiki.
Aisee wewe unaongelea mambo ya mwaka 1967 leo 2023 hivi unajielewa kweli?[emoji23][emoji23][emoji23] Haya ngoja tuone hiyo ultimatum kama itatekelezeka au ndiyo tunaenda kushuhudia ya June 1967 yakijirudia tena
Israel safari hii lazima akalishwe!!Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa kushambulia ngome za jeshi la utawala huo ghasibu.
Kwa mujibu wa televisheni ya Al-Jazeera, vikosi vya Hizbullah ya Lebanon vimeshambulia kwa kombora linaloongozwa kwa mitambo ngome ya kijeshi ya Al-Abad ya utawala wa Kizayuni iliyoko karibu na kitongoji cha Hula.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, vikosi vya Hizbullah vimerusha kombora la kutungua kifaru pia kuelekea ngome ya kijeshi ya Khurbatul-Manara.
Wakati huohuo, mizinga ya utawala wa Kizayuni imelenga maeneo ya Aljabin na Yarin yaliyoko kusini magharibi mwa Lebanon.
Katika siku zilizopita pia, jeshi la Kizayuni lilishambulia kwa mizinga maeneo ya mpakani mwa Lebanon.
Shambulio la kombora la Hizbullah![]()
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi sasa makumi ya maelfu ya Wazayuni wamehama katika vitongoji vya walowezi vilivyoko kwenye mpaka wa pamoja na Lebanon kwa kuhofia mashambulizi ya Muqawama.
Siku ya Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, wanamapambano wa Muqawama wa Palestina walianzisha operesheni ya kushtukiza iliyopewa jina la Kimbunga cha Al-Aqsa kutokea Gaza (kusini mwa Palestina) dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni unaoikalia Quds kwa mabavu.
Katika hatua ya kulipiza kisasi na kufidia kipigo kikali na pigo kubwa ulilopata, utawala wa Kizayuni umechukua hatua ya kufunga vivuko vyote vya Gaza na hivi sasa unaendeleza mashambulio ya mtawalia dhidi ya maeneo ya makazi ya watu na vituo vya tiba vya Ukanda huo.
Uungaji mkono wa tawala za Magharibi kwa Israel kwa kisingizio cha kujilinda kumekuwa sawa na kutoa kibali kwa utawala huo wa Kizayuni cha kuendeleza mauaji ya kikatili na kinyama ya watoto na wanawake wa Kipalestina.
View attachment 2801474
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sanaUkuwa mjukuu wa mtume lazima uwe na vimelea vya unafiki na chuki
Tunahesabu masaa kabla adui mzayuni hajaanza kupelekewa motoMasaa waliyotoa Hezbollah kwa Israel kusitisha mashambulizi Gaza yananakaribia kufikia tamati.
Jamaa wamewaambia Israel ya kuwa mpaka kufukia alfajiri ya ijumaa-(yaani kesho tarehe tatu novemba 2023) wawe wameacha kuishambulia Gaza maana kinyume chake wanaume hao wanaaoogopwa vibaya mno na jeshi Israel, watanunua ugomvi na kuingia mzigoni mazima.
Chanzo: X
Hezbollah gives the israelis an ultimatum to ceasefire: if the attacks on #Gaza don’t stop by Friday dawn, they will go to war
Wakitake wasitake ni lazima myahudi aufyate. Sasa hivi vijana wanpiga nyuma na mbele. Jionee:hilo ni jambo jema, bora waishambulie israel ili waisrael wamalizane naye kabisa, wakae kwa amani. watamaliza kabisa Gaza, watamaliza kabisa Hezbullah na Yemen, adui sasa atabaki Iran. Israel wenyewe wanapenda hezbullah awashambulie ili wapate sababu ya kupiga.
Sijielewi kabisa,nisaidie mkuu nijieleweAisee wewe unaongelea mambo ya mwaka 1967 leo 2023 hivi unajielewa kweli?
Wakitake wasitake ni lazima myahudi aufyate. Sasa hivi vijana wanpiga nyuma na mbele. Jionee:
View: https://youtu.be/GZ3QtKYXLn0?si=TCOI3NSr5CbOS9G0
Mipaka ya 1947, wasimamie hapo.Duh,hao Ndo wanaume wanakupa siku na muda.🤛
Yanatimia, Waisrael wanamambo mawili TU ya kufanya,wafie ndani au wahamishwe.
Mwaka 2000 Israel ililazimika kutoka kusini mwa Lebanon ilipopakalia Kwa miaka 17..baada ya mkong'onto wa hizbullah,2006 Israel alichezea kichapo Cha mbwa mwizi hamu Hana,Vita hii na hizbullah Israel kishapoteza rasilimali nyingi ikiwemo askari 120 waliouawa au kujeruhiwa, Israel Leo imelalama askari wa imam ali brigade elfu 6 wameingia toka Iran, Israel anaihofia hizbullah Sana na kesho kiongozi wao anatoa tamkoSasa lebanon inaenda kutawaliwa na israel, ilikuwa inatafutwa tu sababu ya kuwapiga. Mpaka halali wa nchi ya israel unaanzia Lebanon mpaka iraq mto frati
Wao hawajasimamia siku zote,wakageuza Gaza gereza la waziMipaka ya 1947, wasimamie hapo.
Na mimi ndio nawahimoza Hamas wasikubali hadi Israel waachie ardhi waliyozidisha, warudi kwenye mipaka ya UN ya 1947Wao hawajasimamia siku zote,wakageuza Gaza gereza la wazi
Nakazia,,Tushangilie, ila baadae wakianza kupokea kichapo tusianze kusema FREE LEBANON.
Tusianze kulia lia allah akbar huku tumenyanyua makalio juu
Kwa Hali ilivyo Sasa,atafata ya waarabu 🤣Mipaka ya 1947, wasimamie hapo.