Hiyo utajifunza kwa mumeo.

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
123
Reaction score
49
Baba mmoja alikuwa anamfundisha binti yake mwenye umri wa miaka 8jinsi ya kujifunza kusomana kuandika kiswahili.Baba alianza kwa kumwambia binti wake.
BABA:Sema A,E,I,O,U
BINTI:A,E,I,O,U
BABA:Sema MA,ME,MI,MO,MU
BINTI: Sema MA,ME,MI,MO,MU
BABA:Sema MBA,MBE,MBI,MBU
BINTI:Mbona ya nne umeiruka.
BABA:Mwanangu hiyo utajifunza kwa mumeo
 
Haaa,,alikuwa kitchen party!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…