Hiyo ni fake!

Hahaaa.. mkuu hauwezi kusema umenunua gari JIPYA wakati ODOMETER inasoma kilometa 80,000! Na umelinunua USD 1800. Hilo ni USED mkuu.. Toyota Vits mpya orijino inauzwa takriban USD 20,000 kabla ya usafiri na kodi..!

Na vipi kuhusu bikra fake na original...
 
Mkuu Huku kwetu Africa ni dampo la vitu fake. Nna jamaa yangu huwa anaagiza hadi raba US via mtandao. Zikija sasa chukua na za kkoo tehe yaani tofauti ni kubwa sana. Big up sana mdau kwa mada hii wa bongo wengi wanauziwa vitu famba wakidanganywa original
 
Katika vyooooooote..........nimependa kodrai.......dadeki nina langu nikipiga. ........utadhani ni mmoja wa members wa Boney M......... hilo nililitoa kiborloni.......sh 2800.......nadhani ni full original.......... .

Mkuu nimekusoma. Kwa sasa ukitaka nguo/viatu orijino labda mtumbani tuu.. madukani kila kitu ni FAKE! Vinginevyo ukubali kuingia gharama..
 
Wewe umekwenda mbali mpaka madukani kutafuta vitu feki. Anzia chumbani kwako, huyo binadamu uliye lala nae kitanda kimoja yaani wife ni feki. Hebu tumuangalie vizuri.
Nywele zake ni FEKI sio zake ni makatani au mkia wa fisi.
Kope za kwenye macho yaani eye lashes ni FEKI
Mdomoni mwake kuna jino moja FEKI la rangi ya dhahabu.
Mdomo huo huo unatoa matamshi kibao FEKI na kula vitu FEKI kama chips mayai au mikuku imported ya mlimani city
Kifuani nido ni FEKI kwani ukimkuta hajavaa hivyo vitu vyake matiti ni kama fenesi linalokaribia kuoza
Kiunoni ,,,,mammaaaa we wacha tu. Chini kidogo kuna wowowow FEKI .... naishia hapa msije mkasema natukana.
 

huu sasa ni ukorofi,mke wa mtu ana ingiaje hapa?
 
Ukiona unatuma mambo hayaeleweki pia hayana baadhi ya taarifa zinazojitoshereza hayo ni FAKE
 
Shida nin kwani??? kama havina kansa acha tutumie tu ndio uwezo wetu ulipo.
 
Aisee bro, umeumbua swaga za watoto wa mjini wanaozungumza kwa kubana pua.Pia umesahau kuwaambia hata hicho kiingereza wanachotamba nacho cha 'yeah yeah of koz' pia ni feki bin fuk!

Bora mimi mtoto wa shamba huku Naibili, kila kitu ni orijino, vumbi, mavi ya ng'ombe barabarani, nk. Kitu feki huku ni wawekezaji tu!
 
Nakubaliana na wewe mkuu.. ila angalau mimi najua kwamba ni FEKI. Sasa kuna wale ambao wanatumia vitu FEKI halafu wanatamba mitaani wakidhani ni orijino..

Umesahahau na hii hata wanaume na wanawake fake wapo unatembea kifua mbele na mjuba wako barabarani huku ukijikita kwenye mahaba niuwe kumbe pembeni kawapanga kama saba hivi.
 

Mtoa mada usiishi kwa kukariri,sio kila kitu kinachouzwa marekani kwa $300 basi ni lazima kiuzwe dunia nzima kwa $300.Hata hapa bongo kuna watu wanauziwa hivo vitu ulivotaka kwa bei hzohzo je ni fake(price discrimination)?
Levis,Benz,Polo,Hugo Boss,etc unadhani kiwanda chao ni kimoja dunia nzima ndo wananua kutoka huko?factory ziko sehemu.mbalimbali na kila sehemu costs of production zinatofautiana mfano labourers wa textile mill wa Bangladesh analipwa tofauti na labourer ambae yuko China, Marekani au India kwahyo hii hali ndio usababisha utofauti wa bei katika hizo bidhaa ulizozitaja.kuna mchangiaji hapa kauliza mbona bei ya coca cola ya tz na marekani ni tofauti kwahyo coca ya tz no fake???
 

We vp...inamaana unajifanya hujui kwanini tunaambiwa tupo dunia ya tatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…