Mitha
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 706
- 1,023
Pindua pindua unit"Pindua Pindua" ,
hili tangazo la voda com bhana nimekaa mda mrefu ndo nkaja kugundua wana maanisha nn, Bando unaweza badilisha likawa air time and air time to bando
Wanawake pia wanasema wanaweza Pindua Pindua
no more question pls..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
