Hivi zoezi la TCRA kuzima simu linaendelea au limekwisha?

abdallahjumbe

Member
Jul 1, 2016
48
46
Hivi hili zoezi la TCRA kuzima vimeo limekwisha ama bado linaendelea? Sababu natumia tecno H5 duble line upande mmoja walishanifungia sasa leo naona na huu uliosalia hamna mtandao na nna line ya halotel.
 
Kilichobaki sasa ni wewe kununua simu nyingine tu hiyo uitupe maisha yaendelee
 
Kabla ya kununua nyingine nilitaka kujua kwanza kama zoezi limekwisha unaweza kununua leo kesho wakafungia tena
 
Back
Top Bottom