Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,439
- 6,692
Hizi tuzo za wachekeshaji mwaka jana zilifanyika Februari 14 siku ya Valentine wakamualika hadi Rais kama mgeni rasmi
Mwaka huu nimepita kwenye instagram yao sijaona update yoyote.Tukiwaambia hawa wasanii kuwa huwa wanatumika na CCM kipindi cha Uchaguzi huwa wanakasirika, haya kiko wapi?
Soma Pia: Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy
Ukiangalia kwenye tuzo kubwa duniani mara nyingi kuna consistency. Mfano Grammy inajulikana kabisa na mwezi Januari same to Emmys awards na Oscars awards huwa zinafanyika kwa mwezi husika
Sasa nauliza kwanini hizi tuzo mwaka huu sijasikia. Instagram hawapost yaani hakuna kiashiria chochote kuwa zitafanyika