Hivi Yule mpenzi wako

Yupo tunachat nae tu.. Anatangaza tv station flani...alitokea jamaa trafik akanizulumu bahati nzuri trafick akawa anampiga kinoma hadi waliachana ...
Na trafik akafa kwa ajali... Unaambiwa furaha nliyokuwa nayo nliwanunulia masela menu ya kutosha pale magomeni napika now Azam icream... Adui mwombee njaa
 
Yule mpenzi wako ambaye ulikuwa unaongea naye Kwa sim hadi sa nane usiku till betri la sim lanahit hadi linataka kuripuka yupo wapi ???
Muda huu anapika futari hapa nyumbani kwetu na watoto tena pacha wanje wanasaidia kazi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…