MGILEADI
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,621
- 1,543
Inaonekana mleta mada hazingatii kinachoitwa historia ya jambo. Yeye anaangalia leo tu na hapa tu. Hiyo ya Kariakoo kali sana. YOUNG Africans na Yanga. Carrier Corps na Kariakoo. Mjadala lazima uishe hapo.Nisawa na jina KARIAKOO lilipatikana kwa wenyeji kutamka CARRIER CORPS,ndio ikawa Kariakoo mpaka leo,sasa mleta mada iko siku atauliza nini maana ya Kariakoo?!