Hivi written interview huwa ina maana gani?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,055
Reaction score
16,509
Kwa wale wazoefu wa masuala ya HR nijuzeni.kunakua na haja gani ya kumtoa mtu mwanza to dar then unampa mtiani wa maswali ya darasa la tatu?lengo la usaili wa kuandka huwa ni nin?
 
kwa wabobezi wa " psychology " wanakuambia maandishi ya mtu tena ya " handwriting " yake mwenyewe huwa yanatoa uhalisia wenyewe wa muhusika kama ni " mwongo " , " mwizi " , " gaidi " , " fisadi " , " firauni " , " bazazi " na mapungufu mengine ya kila aina unayoyajua wewe. kwa mfano umeshawahi kuona maandishi ya madaktari? si unaona wanavyoandika vibaya vibaya tena kwa kucharanga charanga na matendo yao ya " ulevi " wa pombe? na kwa kukusaidia tu usije kusema mimi mchoyo wa maarifa ni kwamba kama una mwanao au mtu mwenye aina hizi na miandiko haswa akiwa anaandika ktk karatasi basi tabia zao ni hizi nakuwekea hapa :

  • anayeandika huku maandishi yamelala kushoto...........huyu ni mzito sana wa kufikiri kama injini ya " fiat ".
  • anayeandika huku maandishi yamesimama..........huyu ni mtu mwerevu mno darasani na maishani.
  • anayeandika huku maandishi yamelalia kulia.......huyu huwa ana kimbelembele na sifa kama mtia nia mmoja.
  • anayeandika huku mwandiko ukiwa " shaghalabaga "....atakuwa ni daktari lakini mlevi wa kufa mtu maishani.
  • anayependa kuandika maneno yakiwa makubwa..... huyu muda wowote " atapofuka " macho yake.
  • anyependa kuandika maneno yakiwa madogo sana....huyu atakuwa ni bingwa wa kupiga " chabo " gesti.

kama utakuwa na swali lingine niulize tu mkuu na sitakunyima haya maarifa na nawaombeni sana wazazi wenzangu muzingatie huo mchanganuo wa maandishi niliowapa hapo juu ili muweze kujua mapema kuwa " watoto " zetu watakuwaje na msije mkaanza kulaumu wakiwa ukubwani.
 
Lengo ni kujua kama unaweza kuandika au la.

Pia, kama unajua kusoma mambo na kuyaelewa.

Kwa mfano tu, ushawahi kuona jinsi Wema Sepetu aandikavyo?
 
kwan wema anaandikaje?
 
kwa wabobezi wa " psychology " wanakuambia maandishi ya mtu tena ya " handwriting " yake mwenyewe huwa yanatoa uhalisia wenyewe wa muhusika kama ni " mwongo " , " mwizi " , " gaidi " , " fisadi " , " firauni " , " bazazi " na mapungufu mengine ya kila aina unayoyajua wewe. kwa mfano umeshawahi kuona maandishi ya madaktari? si unaona wanavyoandika vibaya vibaya tena kwa kucharanga charanga na matendo yao ya " ulevi " wa pombe? na kwa kukusaidia tu usije kusema mimi mchoyo wa maarifa ni kwamba kama una mwanao au mtu mwenye aina hizi na miandiko haswa akiwa anaandika ktk karatasi basi tabia zao ni hizi nakuwekea hapa :

  • anayeandika huku maandishi yamelala kushoto...........huyu ni mzito sana wa kufikiri kama injini ya " fiat ".
  • anayeandika huku maandishi yamesimama..........huyu ni mtu mwerevu mno darasani na maishani.
  • anayeandika huku maandishi yamelalia kulia.......huyu huwa ana kimbelembele na sifa kama mtia nia mmoja.
  • anayeandika huku mwandiko ukiwa " shaghalabaga "....atakuwa ni daktari lakini mlevi wa kufa mtu maishani.
  • anayependa kuandika maneno yakiwa makubwa..... huyu muda wowote " atapofuka " macho yake.
  • anyependa kuandika maneno yakiwa madogo sana....huyu atakuwa ni bingwa wa kupiga " chabo " gesti.

kama utakuwa na swali lingine niulize tu mkuu na sitakunyima haya maarifa na nawaombeni sana wazazi wenzangu muzingatie huo mchanganuo wa maandishi niliowapa hapo juu ili muweze kujua mapema kuwa " watoto " zetu watakuwaje na msije mkaanza kulaumu wakiwa ukubwani.

Lol..., nimecheka mpaka basi...!!
Ila kuna kitu nimejifunza kutoka ktk mtundiko wako!
 
Achaga basi uongo mkuu.
 
Kwa wale wazoefu wa masuala ya HR nijuzeni.kunakua na haja gani ya kumtoa mtu mwanza to dar then unampa mtiani wa maswali ya darasa la tatu?lengo la usaili wa kuandka huwa ni nin?
Kupunguza vila.za
Huwez ukafanya written na watu 3000 ikiwa nafasi ni 10..
Kama ushahudhuria interview za tume ya utumish wa umma ndo utanielewa. ..
 
Back
Top Bottom