Wewe endelea kuangalia madhaifu ya wenzako umauti utakukuta na ndoa hujafunga kabla hujamtafuta wife material wewe una uhakika husband material.Nilifunga ukurasa wa mahusiano ya kimapenzi takribani miaka 10 imepita kutokana na kuelekeza akili zangu katika kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu wangu pamoja na kutafuta elimu
Nimemaliza chuo takribani miaka minne sana nimetafuta kazi nimepata. nimeanza kutafuta mwenza wa kushi nae pamoja kutengeneza familia pamoja.
Nimejaribu kwa muda mfupi ku date na watu nlidhani tungeweza tengeneza familia pamoja lakini nmekutana na hivi vitu
Siku hizi wanawake ndio wachokozaji au waombaji kufanya mapenzi na wanang'ang'ania tofauti na miaka 10 iliopita wanaume ndio tulikuwa wachokozaji
Ulevi
Yaani wanawake wanapenda harusi sana kuliko ndoa
Usaliti kuna dada mmoja sikujua kama ana mtu wake mpaka baada ya kudate kwa muda ndio nkagundua navamia mahusiano ya watu. nkaachana nae ijapokuwa amelazimisha sana tuendelee atamuacha mshikaji lakini mm nimegomea "ukipindua utapinduliwa na wewe hipo siku"
Yaani umri ndio npo 30 nimetazama huku kanisani ila nina mashaka sana sababu wadada wengi wanakuja sana kutafuta wenza wakipata wanarudia maisha yao ya zamani. na wapo ambao wameumizwa mioyo wametendwa sasa wameamua kuja kusaka mme, sasa inatia sana mashaka
Msaada wakuu namna gani ulimpata wife material wako ambae hupo nae nyumbani sasa ana watoto wako.
Na ninahitaji pia ushauri.
Muda wa kutafuta mwenza mitandaoni naona baado sana siwezi kufanya hivyo kwa sasa
Asanteni
Hapana si kuangalia madhaifuWewe endelea kuangalia madhaifu ya wenzako umauti utakukuta na ndoa hujafunga kabla hujamtafuta wife material wewe una uhakika husband material.
kweli wanaume tunaangalia sana Kuvutiwa na huyo mtu kwanza kabla ya kumfahamuSali na omba Mungu kuhusu hilo hitaji lako.
N kweli kutafuta mke sio jambo rahisi rahisi tu kwa bahati mbaya wengi wanaongozwa na kigezo cha mwonekano na umbo zuri,ndoa n zaidi ya hayo.
Endelea kuchunguza zaidi mwanamke atakayekufaa hasahasa awe mcha Mungu,mwelewa,mwny upendo wa dhati,muaminifu,muadilifu,mchapa kazi,mkarimu na muwazi.
wapo Mungu akufanyie njiaNilifunga ukurasa wa mahusiano ya kimapenzi takribani miaka 10 imepita kutokana na kuelekeza akili zangu katika kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu wangu pamoja na kutafuta elimu
Nimemaliza chuo takribani miaka minne sana nimetafuta kazi nimepata. nimeanza kutafuta mwenza wa kushi nae pamoja kutengeneza familia pamoja.
Nimejaribu kwa muda mfupi ku date na watu nlidhani tungeweza tengeneza familia pamoja lakini nmekutana na hivi vitu
Siku hizi wanawake ndio wachokozaji au waombaji kufanya mapenzi na wanang'ang'ania tofauti na miaka 10 iliopita wanaume ndio tulikuwa wachokozaji
Ulevi
Yaani wanawake wanapenda harusi sana kuliko ndoa
Usaliti kuna dada mmoja sikujua kama ana mtu wake mpaka baada ya kudate kwa muda ndio nkagundua navamia mahusiano ya watu. nkaachana nae ijapokuwa amelazimisha sana tuendelee atamuacha mshikaji lakini mm nimegomea "ukipindua utapinduliwa na wewe hipo siku"
Yaani umri ndio npo 30 nimetazama huku kanisani ila nina mashaka sana sababu wadada wengi wanakuja sana kutafuta wenza wakipata wanarudia maisha yao ya zamani. na wapo ambao wameumizwa mioyo wametendwa sasa wameamua kuja kusaka mme, sasa inatia sana mashaka
Msaada wakuu namna gani ulimpata wife material wako ambae hupo nae nyumbani sasa ana watoto wako.
Na ninahitaji pia ushauri.
Muda wa kutafuta mwenza mitandaoni naona baado sana siwezi kufanya hivyo kwa sasa
Asanteni
Ama huenda mkajakutanaWakwako yupo na atakuja tu mda ukifika mkuu .
Hahahhhh sio rahisi mkuuAma huenda mkajakutana
Kwa nn wakati avatar inaongeaHahahhhh sio rahisi mkuu
Haaaa hyo sio mimi mkuu[emoji16][emoji16]Kwa nn wakati avatar inaongea
[emoji23]sawaHaaaa hyo sio mimi mkuu[emoji16][emoji16]