Hivi why mathematics wanaikimbia

KUBALINI MSIKUBALI MATHEMATICS IT'S TOUGH KULIKO ANY OTHER SUBJECTS, BINAFSI NILISOMA MATHEMATICS LAKINI MTITI WAKE SIO WA KITOTO KA MASOMO MENGINE. Mfano A-Level KUNA TOPICS 18 LAKINI KUZIMALIZA SI JAMBO DOGO AISEE, PIA KUNAWAUNGWANA WANADAI UGUMU WA SOMO NI KICHWA CHA MWANAFUNZI MWENYEWE HILO NI KWELI PIA KUBALI USIKUBALI MATHEMATICS NI TOUGH INAHITAJI MAZOEZI YAKUTOSHA. KAMA MTU UKIAMUA KUISOMA A-Level BASI KUBALI KUWEKA UBROTHER MENI na USISTER DUU PEMBENI
TOPICS KAMA
CALCULUS
ALGEBRA
COORDINATE GEOMETRY
TRIGONOMETRIC
COMPLEX NUMBERS

UTALINGANISHA NA TOPICS ZA SOMO GANI????

sure kaka,maths c mchezo!
 
Pole sana Mkuu. Lakini PAI (3.142) ni kitu rahisi sana kukielewa. Ukichukua mzingo wa duara lolote lile na kugawanya kwa kipenyo chake ndiyo unapata hiyo namba 3.142 au 22/7 inayoitwa PAI.

OK,
Je 3.142 x 7 = 22/7 x 7??, jibu unalo.
Ndio ujue hata hao wanaohubiri PAI (π) hawajui maana yake.

Wakati Primary na Secondary wanahubiri π=22/7,

Vyuoni wanahubiri hiyohiyo π=Profit,
At maximum Profit, d(q)/d(π) = 0
While π = Total Revenue-Total Cost.
Ha ha ha ha!!!

Kuna mpaka siku ya PAI duniani lakin watu bado wagumu kuielewa!!
 
Mathematics bhana unaweza changanyikiwa mpaka ukakoma kuringa
eti wana tuambia
AxB=ABNi SAWA
alafu eti
2x3=23WANAKATAA.
UNATEGEMEA SOMO LIWE RAHISI KWELI HAPO???
 
06.jpg

01.jpg
 
Mambo ya "tafuta X" wakati tayari iko ubaoni nani anayataka??
 
[Ignorance to Mathematics will keep on costing our life, all we have is mathematics, all we do is mathematics and MBAGAGALA EXPLOSION WAS MATHEMATICS]
 
maths ngumu banaa,huwezi linganisha na somo kama history geograph au chemistryinahitaji thinking ya hali ya juu!

Chemistry ni zaidi ya hesabu!Kwenye chemistry kuna hesabu,kwenye hesabu hakuna chemistry!
 
:A S thumbs_down:Mfumo wetu ni wa kisiasa HESABU haijapewa kipaumbele tokea kindergarten mpaka university, ktk nchi za wenzetu
mwanafunzi anaandaliwa tokea udogoni kwa kupewa vifaa vya kuchezea vinavyomuaandaa katika ulimwengu wa kihesabu lkn sisi waTZ tunajifunza HESABU kama siasa kwa kukariri kanuni bila practical na msisitizo wa matumizi yake katika maisha ya kawaida. Mchawi ni mfumo wa
mtaala wenyewe ulivyo andaliwa na si wanafunzi wala walimu.
 
Kuna mpaka siku ya PAI duniani lakin watu bado wagumu kuielewa!![/QUOTE]

Bila shaka ni tarehe 14 mwezi wa 3.
 
Mathematics bhana unaweza changanyikiwa mpaka ukakoma kuringa
eti wana tuambia
AxB=ABNi SAWA
alafu eti
2x3=23WANAKATAA.
UNATEGEMEA SOMO LIWE RAHISI KWELI HAPO???
dahh wewe balaa kweli hesabu inakusumbua,tatizo lako ni principles
 
Jamani hesabu nimezipenda tangu utotoni wow A+++ student forever hadi najisikia raha.
 
inategemea na mwalim coz me mwenyewe nlikuwa naichukia hesabu toka shule ya msing mpk form 3 but kufka form 4 nkakutana na mwalim anayejua kufundsha nkaipenda mwenywe na form 4 nkatoka na B.
 
Back
Top Bottom