Hivi Waziri wa ujenzi haruhusiwi kuweka jiwe na msingi na kuzindua?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Imenibidi niulize hili swali baada ya kumuonea huruma sana mh rais wetu mpendwa kwa kufanya kazi za kuzindua na kuweka mawe ya misingi kila palipo na hizo shughuli.
Hivi jamani hamuoni mnamchosha rais wetu?kwanini waziri anakwepa majukumu yake wakati ndiyo wajibu wake?
 
Roho mbaya na husuda vitakuua, kama hupendi azindue hama nchi huyo ndo Raisi wako mpaka 2025.
 
Akiweka waziri maana yake yeye atakua hatokei kwenye front page sasa ili roho yake isuuzike inabidi kila kitu afanye yeye...amini nakwambia hakuna kitu kinachosha kama kila kitu unakifanya wewe na unakua na hasira hatari
Kwakweli hakuna mantiki ya mradi kufunguliwa na rais wa nchi wakati waziri anakuwa na kazi ya kusoma risala
 
Hiyo ndio njia mojawapo ya kiprotoko ya siasa yaani kwwnye daftari la maraisi walioweka historia ya kuzindua mradi au kitu fulani kwa huko mbeleni miaka ijayo ndo histori kwa vijukuu ..
Ni kama unavyoona sasa kuna mawe ya misingi ya miaka ya nyuma sana tunapoiona sehemu mbalimbali
Imenibidi niulize hili swali baada ya kumuonea huruma sana mh rais wetu mpendwa kwa kufanya kazi za kuzindua na kuweka mawe ya misingi kila palipo na hizo shughuli.
Hivi jamani hamuoni mnamchosha rais wetu?kwanini waziri anakwepa majukumu yake wakati ndiyo wajibu wake?
 
Akiweka waziri maana yake yeye atakua hatokei kwenye front page sasa ili roho yake isuuzike inabidi kila kitu afanye yeye...amini nakwambia hakuna kitu kinachosha kama kila kitu unakifanya wewe na unakua na hasira hatari
Ni ushamba wa kupitiliza...

Jamaa ni mbinafsi sijawahi ona...
 
Kupatwa kwa miradi
Hiyo ndio njia mojawapo ya kiprotoko ya siasa yaani kwwnye daftari la maraisi walioweka historia ya kuzindua mradi au kitu fulani kwa huko mbeleni miaka ijayo ndo histori kwa vijukuu ..
Ni kama unavyoona sasa kuna mawe ya misingi ya miaka ya nyuma sana tunapoiona sehemu mbalimbali
 
Imenibidi niulize hili swali baada ya kumuonea huruma sana mh rais wetu mpendwa kwa kufanya kazi za kuzindua na kuweka mawe ya misingi kila palipo na hizo shughuli.
Hivi jamani hamuoni mnamchosha rais wetu?kwanini waziri anakwepa majukumu yake wakati ndiyo wajibu wake?
Hata mimi huw nashangaa kamanda!
Hivi inawezekanaje mtu unakuwa mwenyekiti wewe tu! akijitokeza mwanachama mwingine anafukuzwa au anakufa.
OOOh! sorry kumbe tulikuwa tunaongelea waziri wa JPM?
 
Huu ni utaratibu wa Ilani ya John Walker 2015-2020 na baada ya hapo tunauacha kabisa maana ni upotevu wa muda na rasilimali
 
Inaelekea ipo kwenye ilani ya chama
Hata mimi huw nashangaa kamanda!
Hivi inawezekanaje mtu unakuwa mwenyekiti wewe tu! akijitokeza mwanachama mwingine anafukuzwa au anakufa.
OOOh! sorry kumbe tulikuwa tunaongelea waziri wa JPM?
 
Unataka rais wetu hasionekana kwenye front page ?
Lakini ni bora aweke mawe ya msingi kwa sababu kuna uwezekano asipate bahati ya kufungua matumizi rasmi ya hiyo miundombinu.
 
Bora aendelee kuweka bos , yule wa kutaka fastjet ife ni bichwa box, angalau bos ana nafuu kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hiyo ndio njia mojawapo ya kiprotoko ya siasa yaani kwwnye daftari la maraisi walioweka historia ya kuzindua mradi au kitu fulani kwa huko mbeleni miaka ijayo ndo histori kwa vijukuu ..
Ni kama unavyoona sasa kuna mawe ya misingi ya miaka ya nyuma sana tunapoiona sehemu mbalimbali
Naona wamebadilishana majukumu.

Jk aliongoza kwa kusafiri nchi za nje.

Magu ataongoza kwa kuweka mawe ya msingi.
 
Back
Top Bottom