Hivi waziri wa ujenzi alikuwepo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Habarini wanaJF!
Swali linajieleza kwa uwazi kabisa.
Je waziri wa ujenzi wa kipindi hiko (naamini ndiye Rais wa sasa)
Je alialikwa au kuhudhuria uzinduzi wa ujenzi huu wa daraja muhimu la Kigamboni kwa sasa linaitwa daraja la Nyerere?

Kama alialikwa kwa nini hakuhudhuria?
Kama hakualikwa je ni kwa nini?

Turejeshe kumbukumbu.
 
ama kweli wewe una meningitis. no wonder umekuja na upuuzi huu.
 
Habarini wanaJF!
Swali linajieleza kwa uwazi kabisa.
Je waziri wa ujenzi wa kipindi hiko (naamini ndiye Rais wa sasa)
Je alialikwa au kuhudhuria uzinduzi wa ujenzi huu wa daraja muhimu la Kigamboni kwa sasa linaitwa daraja la Nyerere?

Kama alialikwa kwa nini hakuhudhuria?
Kama hakualikwa je ni kwa nini?

Turejeshe kumbukumbu.
Unaendelea kuandika hii thread au hapa ndio umemaliza?

Ulevi nomaaaa...!!
 
Hii nayo mupya. Mhh, ina maana Makame Mbarawa hakualikwa kwenye sherehe ya ufunguzi au unazungumzia Waziri mwingine?
 
Hii nayo mupya. Mhh, ina maana Makame Mbarawa hakualikwa kwenye sherehe ya ufunguzi au unazungumzia Waziri mwingine?
Ufunguzi wa ujenzi unaelewa maana yake?
Sio ufunguzi wadaraja!!

Umakini utawale kwenye kusima mada
 
Usidandie basi la mwendo kasi kwa mbele mkuu
meningitis; eleza basi ulichokusudia. kama ni kuwepo wakati wa uzinduzi wa daraja la kigamboni magufuli alikuwepo. ndo maana wengine wameandika kama kuna kitu unataka kueleza. eleza ueleweke.
 
Back
Top Bottom