Hivi watu hawa wanaruhusiwa kupewa mkopo kwenye taasisi za fedha

Bijang

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
265
548
Habari zenu wakuu!

Nafahamu kuna watu wengi wakubwa na wenye nyazfa kubwa nitapata msaada hapa kujua hili jambo.

Hivi viongoz wa serikal kama vile wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, makatibu tawala wilaya na mikoa wanaweza kupata mikopo kama wafanyakazi wengine wa serikali kama vile madaktari, walimu, askariz, n.k

Mwisho, je? Wachezaji wa mpira nao vipi wamaweza kukopa kwenye tassisi hizi za kifedha je mikataba yao ikivunjwa inakuwaje kwenye marejesho.

Nawasilisha
 
Mtu yeyote anaweza ana haku ya kupata mkopo kutoka taasisi za fedha ikiwa anayo dhamana.
Dhamana yaweza ikawa barua ya muajiri ikiambatanishwa na mkataba wa muhusuka pamoja na salary sleep.

Pia nyumba nimeona ikitumiwa kama dhamani. Kihusu kivunjika kwa mkataba kawaida mtu anapo fukuzwa kazi na muajiri aliye mdhamini nimeona bima ikikava kiasi cha mteja wao alichokua akidaiwa.

Lakini inapo tokea muhusika ameacha kazi, hapa atajipeleka mwenyewe kwenye taasisi aliyo kopa fedha kwaajili ya kufanya mazungumzo na makubaliano ya namna ambayo ataweza kulipa mkopo ule bila kuiathiri taasisi iliyo mkopesha.

Kama aliweka nyumba kama dhamana basi itauzwa iwapo atashindwa kulipa deni ama ikitokea mhusika amefariki basi bima itakava deni lililobakia (kama alikua na bima ya mkopo)
 
Mtu yeyote anaweza ana haku ya kupata mkopo kutoka taasisi za fedha ikiwa anayo dhamana.
Dhamana yaweza ikawa barua ya muajiri ikiambatanishwa na mkataba wa muhusuka pamoja na salary sleep.
Pia nyumba nimeona ikitumiwa kama dhamani.
Kihusu kivunjika kwa mkataba kawaida mtu anapo fukuzwa kazi na muajiri aliye mdhamini nimeona bima ikikava kiasi cha mteja wao alichokua akidaiwa.
Lakini inapo tokea muhusika ameacha kazi, hapa atajipeleka mwenyewe kwenye taasisi aliyo kopa fedha kwaajili ya kufanya mazungumzo na makubaliano ya namna ambayo ataweza kulipa mkopo ule bila kuiathiri taasisi iliyo mkopesha.
Kama aliweka nyumba kama dhamana basi itauzwa iwapo atashindwa kulipa deni ama ikitokea mhusika amefariki basi bima itakava deni lililobakia (kama alikua na bima ya mkopo)
Asantee mkuu
 
Back
Top Bottom