FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
we kimdada si lazma somtim kama una cha kuandika unakausha2 mana kwa jinsi unavyoshinda na kukesha humu sis wagen tunakuheshm sna kama celbrt.wa jukwaa sasa usitak tukuone huwez chochote wkt uwezo wako wa kupost ovyovyo humu uko ju sana may.
Wewe unaweza nini zaidi ya kubwabwaja na kuhororoja?
Jifunze kuandika vizuri, pitia posts za wengine humu humu JF upate uzoefu wa kuandika kwa umakini.