Hivi Watanzania mnataka nini?

Toka hapa wewe mleta mada na li Myweather laki,halina lolote sifa tu.Watanzania wapo hoiiiiiiii,ni vile tu AK47 hakuna mtaani.

Pia nature ya Uhuru unatugharimu sn,tungepata kwa mtutu muda huu mtu asingekuja na kujifanya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani Pote palipo na machafuko ya Ndani chanzo Baadhi kukosa uzalendo uzalendo ni tunda la Moyo wa Mwanadamu mwenye utu,Busara,Heshima, nk Watanzania penye kushikamana tushikamane kwa dhati ,penye kukosoa tukosowe kwa staha tuepuke kuigawa Nchi yetu hata tusipokula tukashinda njaa huku tukipigania dhuruma tulizofanyiwa miaka Mungu ,Mungu atatusaidia hatutaisikia njaa Tuungane Tanzania ni yetu sote na kila mmoja amkosoe mwenzake kwa staha kubwa ,Amani yetu Tuilinde kwa kuizuia midomo yetu isitumike kutugawa bila kujali Imani na itikadi zetu Ee Mungu Uibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ninyi ni akina nani mnaotukanwa? Liweke wazi hili pia.... Tulihoji, mwenye hekima kuambiwa ana hekima sio tusi ujue ndo ukweli wenyewe, na hata kinyume chake ni ukweli pia sio tusi.. Swali ninyi ni akina nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu punguza hasira utapata maradhi ya moyo bure wacha movie iendelee
 
Kwa mfumo wa kisheria tuliojiwekea, ni lazima Rais atimize miaka mitano, kama hajatenda makosa yaliyo ainishwa kisheria na hatua za kisheria hazijachukuliwa, ktk kipindi Rais wa Tz ndiye Mkuu wa majeshi yote, Mkuu wa nchi, mkuu wa serikali, Mbunge na pia ni jaji wa mahakama ya rufaa.

Kama mlikuwa hamyajui haya, ndio tatizo mnataka afanye kinyume na sheria ya nchi kwa kulinganisha wafanyavyo Marais wengine wa nchi nyingine zenye sheria nyingine.

Na nionavyo, kwa Rais mwenye hekima na nia thabiti kwa watu wake, hii katiba iko vizuri karibia kila ibara,,,, tatizo ni ibara inayogawanyisha hii Jamhuri ktk sehemu mbili, ilitakiwa isiwepo na isomeke "Tanzania ni nchi moja, JMT na serikali moja, bunge moja, rais mmoja " I mean umoja ktk kila kitu ktk muungano.
 
Jingine hili hapa ......yaani mataahira yapo mengi huku duniani.......sasa ndio umeongea nini hapo.....mbona kama wewe ni kweli unajua kukamata mtutu haukujitolea kwenda kusaidia kulinda amani hapo kongo tu sio mbali uonyeshe ni jinsi gani una hiyo jeuri ya kupambana kijeshi.......bure kabisa kicha cha gia box mbovu.......

SONY Xperia Z5 Premium
 
Akili zikishazoea kuigilizia zinakosa ubunifu na uwezo wa kupambanua.ALIYE WAAMBIA DENI LOTE NI LAZIMA LILIPWE KWA WAKATI MMOJA NI NANI.
Kabisa yaaani......kama wao walituibia kwa miaka 10 na zaidi na sisi watatulipa kidogo kidogo cha muhimu ni walipe hizo hela

SONY Xperia Z5 Premium
 
Kweli ndugu

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 

Kwahii postbyako inaonekana kuna sehemu wamekubana, pole wangu, magu kaza kamba viuno vinaanza kulegea fyuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mwana Xperia Z5 platinum metallic ni amazing
 
AKILI ZA WA TANZANIA:
KUNA SIKU KUTAKUWA HAMNA SHIDA
KUNA RAISI ATAONDOA UMASKINI
WAKUU KAMA HATUFANYI KAZI TUTALALAMIKA KILASIKU
 
Cheki jinga jingine hili hapa......hivi wewe umeingiza shilingapi hadi sasa hivi......maaana huwa sibishani na watu wenye mwili wa mtu mzima ila akili za mtoto......!

SONY Xperia Z5 Premium
Sasa unasema hua haubishani na jinga alafu umecomment nini sasa?why usinyamaze?

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mitume na miujiza yao yote lkn hawakuwa wanakubaliwa na watu wote kuna waliowapinga na kuwatukana sembuse mimi,wewe au Magu

Hayo ni mapungufu tu ambayo kila binadamu anayo waliopita walikiwa na mazuri na mabaya yao halikadhalika na Magu pia
 
Ok, sawa tumekusikia,tupe nafasi kuyatafakari uliyoyaandika, tutarudi kwa ajili Ya mrejesho
 
Kwahii postbyako inaonekana kuna sehemu wamekubana, pole wangu, magu kaza kamba viuno vinaanza kulegea fyuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaaa nakuona mavi tu hata wewe ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…