Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,339
- 17,583
Wewe hujui hata mambo yanayoendelea nchini mwako? Monica Juma siyo tena waziri wa mambo ya nje, sasa ni waziri wa ulinzi.Mtizame na umskize huyo waziri wao wa kukodoa kodoa mimacho na kufanya 'irrigation' akiongea. Kisha jaribu kumfananisha na waziri mwenzake nchini Kenya Monica Juma au hata aliyemtangulia, Amina Mohammed.