babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,383
- 21,059
Hii Ina maana Sanaa ya miziki ni Kama sports kuna Wakati mwili hukataa hata UFANYeje .....kinatofsutiana ni nidhamu ...wenye nidhamu hudumu Zaidi
sasa diamond akishuka inakusaidia nini?jamiiforum ni jukwaa la watu wanaojitambua mods embu muwe mnatoa uzi wenye kushusha weledi wa jukwaa..nimejiuliza mtoa mada uwezo wake wa kufikilia na dhumuni la uzi wake nimeona umaskini wake wafikra na njaa ni tatizo kwake..kijana hamka tafuta ajira diamond awez kukusaidia
.pumbaf.
alinachaamepata bibi ambaye anataka wajenge familia.
Kampa na mimba.kinachofuata sasa ni kupiga miti kulea mimba na mtoto akizaliwa.
Muziki hapo ndio kwaheri.
Badala ya kufanya mazoezi atakaa nyumbani kumwangalia mtoto au kulea mimba.mtoto anakuja na majukumu mengine bwelele.kwa ujumla kuanzia hapa diamond hatakuwa na makali tena km hapo mwanzo.
Muda si mrefu kina sijui romyj na mabaunsa na yule ---- mpiga picha hawana kazi.waangalie alama za nyakati.
Zari ndio anguko la diamond.
Wivu wa kike
Makali ya huyu kijana yameanza kuisha, sio muda mrefu asipojicheki atashuka hadi ajishangae, huu mziki hakuna anaekaa forever, walikwepo kina Mr. Nice, Juma Nature, Matonya, Hussein Machozi, Inspector Haroun na wengine wengi tu waliokwishawika, ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Kijana naona ni yeye na bata tu siku hizi, kilichomfanya ale hizo bata hakithamini tena, mziki kama soka, kijana asipojikaza atashuka tu hadi ajishangae.
Ni kweli kabisa ulichosema, wenye nidhamu wanadumu mfano halisi ni jay-z jamaa ana nidhamu nzuri pia kwa bongo kuna kina jide, wale wazinzi na walevi wote kama mr.nice hawakudumu
acheni mawenge yenu nyinyi na mtasubiri sana Mungu awajalie uhai tu...
1. mwaka umeanza ndio kwanza kachukuwa tuzo uganda last week
2. nitampata wapi ambayo ndio hit single yake kwa sasa youtube ina views zaidi ya 2.3m, ndio wimbo uliopakuliwa zaidi kwenye mkito.com tangu kuanzishwa mtandao huo, inafanya vizuri namba moja chati za muziki Tanzania MMC, na bado kwenye trace kituo kikubwa cha kimataifa kwenye Africa top 30 ni nyimbo pekee kutoka Tanzania na inashikiria namba 5, zaidi jana imepigwa kama smash hit...
3. bado kidogo iwe released nyimbo aliyoshirikishwa na linex 'salima' na bado kuna collable mbili za kimataifa pamoja na wimbo wake aliomshirikisha Fally ipupa zote kutoka kabla machi haijaisha...
4. Sasahivi yupo india kwaajili ya kumuuguza mama'ake na video shoot, na si vinginevyo...
SIDHANI KAMA UNAYAFAHAMU YOTE HAYA KAMA UNAYAJUWA NA UMEANDIKA UTUMBO NAKUSHAURI TU USIKATE TAMAAA KAMA KALA JEREMIAH NI UGONJWA WA WIVU WA MAENDELEO U FOOOO KABISA NA JITAZAME SANA KAMA NI MWANAUME.....