Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 815
- 1,645
Sawa maadam alietoa muongozo ni KE: basi sawa...Ili mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
Na ww unavitu gani vya kumuoffer mwanaumeIli mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
Nature imeshaweka kitu ambacho mwanamke anampa mwanaume ni mwili wake, mwanaume anampa mwanamke kila kitu alichonacho.Na ww unavitu gani vya kumuoffer mwanaume
Achana na mambo ya wanawake.Wakuu leo nimekaa nikatafakari sana hivi ili wanawake wasikusumbue unatakiwa kua na pesa?
2 au kua na mwanamke mmoja?
3 au kua handsam?
nimejiuliza mara nyingi sijapa jibu we unaona w
WANAWAKE WANATAKA NINI HASWA KWA WANAUME ILI WATULIE.?
MADA:
Chai.Ili mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
Nunua maandazi ushushieChai
Soma tena nime edit uelewe.Nunua maandazi ushushie
Sisi ndio offer yenyewe, mnataka nini tena?Na ww unavitu gani vya kumuoffer mwanaume
Uliza mmoja mmoja maana tunatofautiana.Wakuu leo nimekaa nikatafakari sana hivi ili wanawake wasikusumbue unatakiwa kua na pesa?
2 au kua na mwanamke mmoja?
3 au kua handsam?
nimejiuliza mara nyingi sijapa jibu we unaona w
WANAWAKE WANATAKA NINI HASWA KWA WANAUME ILI WATULIE.?
MADA:
hata kama nina kichogo inatakiwa nikikate ili niwe na mwonekano mzuri?Ili mwanamke asikusumbue unatakiwa kua na vitu vingi kwa wakati mmoja
Pesa, mwonekano, wadhifa, nguvu za kiume, tabia njema na vitu vingine ambavyo hata sisi wanawake wenyewe hatuvijui
Ukiwa na pesa kichogo mbona kitamu tuhata kama nina kichogo inatakiwa nikikate ili niwe na mwonekano mzuri?