Mi huwa nawaona kama vile in wauza papuchi tu mwanamke wa aina hiyo nikikutana nae sitongozi nauliza tu shingapi maana naona kama vile in wale wanaojiuza ila samahani kwa yeyote nitakae mkwaza ni mtazamo wangu tu
Mwanamke ni kuwa mrembo ila vipini vya puani nadhani ni tamaduni za Asia na Middle East ila wale wenzetu pua zao ni nyembamba ila ukute mbantu na mpua mpana kama sketi ni wachache sana wanapendeza