I can only sign this new contract if it is to spend the rest of my life in a Coventry.
unamanisha nini unaposema siku izi hutongozeki??zamani nilikuwa nawaza harusi yangu na yeye ,game itakavokuwa etc
siku hizi sitongozeki naona anapiga tu tararira isiyo na msingi .namuona kibaka wa papuchi asie na maana
Wanawake huwa wanawaza pesa tu.Kwa kawaida yangu mimi binafsi ninapomtongoza mwanamke huwa nakuwa nawaza jinsi nitakavyogegeda endapo atakubali. Nawaza mastyle nitakayokuwa namuweka nikiwa namgegeda na hii nadhani ni fikra za kila mwanaume na ndio maana mwanaume mwingine huwa mwamvuli unakunjuka anapokuwa anatongoza.
Sasa najiuliza swali, hawa wanawake wao wanawaza kitu gani hasa kwa mara ya kwanza anapotongozwa? Eti nyie wadada wa humu MMU huwa mnawaza nini kwa mara ya kwanza mwanaume anapokutongoza? Yaani huwa ni kitu gani hasa mnachofikiria kichwani endapo una lengo la kumkubali huyo mwanaume?
Yaani unawaza nini hasahasa? Msaada wenu ili na sisi tujue.
kama mgumba je?Ninawaza utakavyotokelezea ile siku ya ndoa ndani ya suit yako, honeymoon takwenda wapi na idadi ya watoto tukaozaa.
Na unakubaliNikitongozwa hua nawaza kua huyu mwanaume anawaza kunila tu!
Usikibane bane kitaliwa na nyenyereYaani huwa nawaza kakosa wa kuwakula hukooo kooote kaona mie ndo kipoozeo sio??? Shenzi kabisaa, kaka usijali Tutawasiliana mwaya... Ndo na njia nitabadili
Baby mambo?Ninawaza utakavyotokelezea ile siku ya ndoa ndani ya suit yako, honeymoon takwenda wapi na idadi ya watoto tukaozaa.
Aisee,mi nijuavyo hata changu mnaelewana bei,kitendo tu cha kuelewana bei ndio kutongozana kwenyewe,au we mwenzetu unaelewaje?Kwani bado kuna kutongoza siku hizi????
Tulitongoza enzi zileeee
Mbona mnawaza mbali hivo?Ninawaza utakavyotokelezea ile siku ya ndoa ndani ya suit yako, honeymoon takwenda wapi na idadi ya watoto tukaozaa.
DefinitelyThat is the main purpose of mtongozo but there is a possibility of more to come depending on your relationship.
Ndiyo maana tunaweza kuendesha familia kwa kuwaza mbali.Mbona mnawaza mbali hivo?
Ila mimi sijawahi kukuPMBado ninawaza hayo na vikibuma ninaumia kweli, ndiyo maana nimeacha kujibu PM za watu.
Umechelewa imeshafungwa.Ila mimi sijawahi kukuPM
Wanapima oiliNimemuuliza rafiki yangu hapa! Kadai kuwa kwenye hicho kipindi huwa wanawaza ndani ya suruali ya kidume kuna kitu au kakitu! Na inasemakana siku hizi wamekuja na mbinu mpya, yaani wanaishika kwanza
I meant a nun's coventy BAK.Lol! You're too demandingila umenifanya nicheke
Lol! Hahahahaha why that city and not London or Leicester!?
Ukienda kununua simenti unatongoza simenti pia?Aisee,mi nijuavyo hata changu mnaelewana bei,kitendo tu cha kuelewana bei ndio kutongozana kwenyewe,au we mwenzetu unaelewaje?
Ifungue kwa niaba yanguUmechelewa imeshafungwa.
Hahaaaaaaaaa nadhani hii ni tiba tosha umemtibia ataacha kuwaza hicho anachowazaNinawaza utakavyotokelezea ile siku ya ndoa ndani ya suit yako, honeymoon takwenda wapi na idadi ya watoto tukaozaa.