Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 569
Nashindwa kuwaelewa ujue, mbona mnazeeka mapema hivi tatizo nini juzi i met this woman ambaye tukiwa sekondari nilikua natumia muda mwingi sana kumwandikia barua kumfuata kwao weekend.
Vurugu zote zile za ujana. aisee amekua kama my ganny! naona hata aibu kuwaza kuwa huyu ndio yule aisee jipendeni basi hata kidogo.
Vurugu zote zile za ujana. aisee amekua kama my ganny! naona hata aibu kuwaza kuwa huyu ndio yule aisee jipendeni basi hata kidogo.