katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
Wanawake ni watu wakuwaangalia kwa jicho la nyuma. Mimi nimeolewa nanina mume wangu tuko pamoja huu ni mwaka wapili tunakaribia .
Sisi tunafamily friends wetu kama nyumba 3 wote ni watu wanajiheshimu ila kuna huyu mama hana hata haya tukiwa gethering yeye humganda mume wangu nakuwa kama wake.
Simu haziachi kuita kila saa sijui anataka nini. Nikimuuliza mume wangu anasababu za hapa na pale. Unakuwa unamvumilia mtu mpaka,kumbuka kuna yule mshenzi mmoja kamchukua kabisa mume wangu ila hujua kuficha uchafu wake huwezi mnasa. Ila hadi huyu sasa anamtakia nini mume wangu mbona wao siangaiki na waume zao?
Nimechoka kabisa. Maisha haya bora usifuatilie mamboo ila ukiacha tena kutomfuatilia nakuvaa husika kama mke utachezewa sana.
Mwanamke anamuacha mumewe kazi kumganda wangu wake anamuachia nani sasa. Masaa yote baba fulani baba fulani ngoja baba fulani aje atanisaidia .
Na mume wangu huitwa tu kama pia nalo hilo. Linaenda kama zuzu, mimi kila kitu ninacho vyotee ambavyo mume anavutiwa. Ila kutwa kubadilisha wanawake bora hajajiabisha kwa wasichana wakazi.
Wewe mwanamke umeolewa unafamilia yako kutwa kuganda wanaume za watu kama huridhiki sio lazima uonyeshe mi nyege yako kwa wanaume za watu. Kuweni na haya hamtulii viben ten nyie , wazee nyie wakaka wa makamu nyie. Hivi unahimilije?
Yaani wamenichosha akili sijui huyu mume wangu wanamuonaje, yaani ni mume wangu tu watu wamgande nasio mdogo ni mzee eti. Ila baba fulani nani kila mama anamuhangaikia. Yaani siendi tena jumuia ya familia aende huko akapapaswe. Walai inaniuma sana ila sina jinsi.
Tukienda mgahawani wasichana wanamtizama kwa macho ya mahaba. Hadi manesi wananipa huduma ya haraka kisa yeye, benki na sasa hadi hardware. Yaani kila mahali nimechoka naombeni ushauri kunatime mtu anahitaji hili.