Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
We mjinga kweli, yaani unalilia mchepuko asiyekutaka....ukiona hakutaki shukuru Mungu, si kila mwanamke anafaa kwenye mahusiano kwani wengi wao ni majini watu ambao hawafai kwa lolote na ndiyo maana wanaishia kuroga waume za watu tu. Ukiona hakutaki basi juwa pengine kinga zako za mwili ni kali kwake, anakuona wewe kama mkosi / nuksi. Usiwachukulie wanawake serious, wanalostisha sana ambitions za watu, jitafute kimaisha utapata mwanamke sahihi maishani mwako.Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Wanawake wengi sana ni mizigo, hawafai hata kwa one night stand......kuna wengine unalala naye tu anakuharibia maisha na kuwa na mikosi maishani mwako mpaka kifo chako. Angalieni wanawake wa bongo movie na fleva wale warembo wanaolala na wanaume kwa ajili ya kupewa hela.....unakuta demu kishalala na mwanamme fulani na kupewa hela za ujira wa kuchafuliwa mwili, anazeeka ghafla na kuwa alosto kwa sababu nyota zao tayari zishachotwa na kuharibiwa maisha. Mwanamme ukiingia kichwa kichwa kulala na demu kama huyu unabeba laana zake za mwili naye anaanza kupata ahueni.Mwanamke Kama ajakuelewa Hata umpe Nini, Ndugu kwanza nakupa pole ila unatakiwa kumsoma mwanamke na kumuelewa kua mwanamke kama ajakukubali utapata shida sana, na karenda kwako zitakua nyingi atakuzungusha mpaka ukome, jifunze kukubali kukataliwa.
Taratibu utazoea na utamuona ni wakaida tu.
Aisee kumbe bado kuna watu mazezeta duniani, yaani unalilia mwanamke asiyekutaka,,,,unajipa matatizo ya nini, huoni kama ni baraka kwako kukataliwa na mwanamke aliye jini? Mkuu, si kila mwanamke anafaa kwa matumizi na ndiyo maana wengi wao wako singo wametengwa makusudi tu ili waliwe na vijana wa kigaidi wanaojitoa muhanga.Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Huyu atakuwa ndiyo kwanza anabalehe, sijapata ona mtu mjinga kama huyuYaani unalilia mtu ale hela zako? Mwanamke anayekukataa unapomtongoza ni bora kuliko anayekukubali kumbe ndo anakuingiza kwenye matatizo. Wewe una akili timamu?
Una mzaha kweli, uko unalazimisha mtu kula hela zako, na unajua wazi anazagamuliwa na wengine , so sad😌au ndo kizuli kula na wenzio, leta hizo hela apa tukalipe deni la taifa🫢Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Taarifa zako za kuwa unameza tembe anazijua ndio maanaUnakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Si lazima wanawake wote wakushobokee kisa uwezo/ pesa zakoUnakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.