[emoji12] [emoji12] [emoji12] we ndo tabia zakoHakuna cha laana wala nini.
Ndo uanaume wenyewe huo.
Hahahahaha[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mwanaume alietimamu Lazima atongoze, yaani Ukae na msosi mezani Huku unakufa njaa kweli huo ni utahaira
Hdhahafhahadem akinipa namba halafu unafaa kwa matumizi ya binadam itabidi ntongoze tu hamna namna nyingine..sasa ntafanyaje alaf hii unakuta inatokea tu naturally hata kama tayari dem unaye..au unataka tukichati tujadili katika mpya?...damn, so good being a man.