Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,082
- 8,368
Hauwezi kula bila kuliwa ,unataka kula bila kuliwa? Haiwezekani ,Sina Maana hiyo - Jakaya Mrisho Kikwete
😂😂😂
Hauwezi kula bila kuliwa ,unataka kula bila kuliwa? Haiwezekani ,Sina Maana hiyo - Jakaya Mrisho Kikwete
Nandio namtafuta mtu ambaye ni gentlemen aje kiakili sio Kavi halafu nimsikie tu nanijeNilichoelewa ni kwamba jamaa amekosea approach ila angekuja kama hivi
"Hallow unique flower manager hapa hope you're good, ok nina majibu yako ya interview ila kama hautojali ningependa tupate japo wasaa tuzungumze over dinner hapo amsterdam sea breeze BILLS ON ME ! Just take uber and i'll pay."
Bila shaka ungeoga kabisa na kuwahi mapeeema tu
Sasa niheshimu mtu nahaki yangu??Nini tena mamii,
Nisamehe kama nimekukosea
[emoji23][emoji23]
Mtihani huu,vibinti vingine vimebarikiwa kijambio + paja ila hizo dressing codes 🙌🙌 kwanini wasiombwe vya kuombwa...alafu
kuna wadada wengne wanaenda sehemu kama hizo (kwenye tundu la simba)
wakiwa wamevaa vinguo vya kiaina kama vile kaenda kujiuza! sasa meneja anawekwa katika mazingra magumu! anabaki kufikiria lile paja kwanza. (utani)
Humu hamna hela ila mnamidomo michafu choo hafadhali...alafu
kuna wadada wengne wanaenda sehemu kama hizo (kwenye tundu la simba)
wakiwa wamevaa vinguo vya kiaina kama vile kaenda kujiuza! sasa meneja anawekwa katika mazingra magumu! anabaki kufikiria lile paja kwanza. (utani)
Nimekuelewa babeSasa niheshimu mtu nahaki yangu??
Vibinti mie ni lady sio Binti huko simo halafu lazima uvae vizuri nilivaa gauni blue ndani nikavaa shati njee yenye mikono mirefu .Mtihani huu,vibinti vingine vimebarikiwa kijambio + paja ila hizo dressing codes 🙌🙌 kwanini wasiombwe vya kuombwa
MxiuuUkitaka kula usiogope kuliwa, wewe unataka kula alafu unaogopa kuliwa 😂😂😂
Umesikia Unique Flower watu wameelewa mzigo wanataka wakate utepe huo, sisemi ni jambo jema ila acha mashauzi hio inaweza ikawa ni moja ya indirect interview na kwa majibu yako Manager anaweza akawa amekuondoa kwenye list sababu ya utovu wa nidhamu, 😂
Tabia mbaya sana hasa kwenye Taasisi za umma vyuo vikuu masekrekari, madent WANABUNGULIWA balaa na Lecturers vijanaSafi mwanangu. Kuanzia leo mimi baba yako
Yes ila sio humuBado unamtafuta?
unaona sasa.. hapa wewe ndo umekuja na mdomo mchafu!Humu hamna hela ila mnamidomo michafu choo hafadhali
Naomba nikuone hata kucha+ vidole tu nitapata majibuVibinti mie ni lady sio Binti huko simo halafu lazima uvae vizuri nilivaa gauni blue ndani nikavaa shati njee yenye mikono mirefu .
Chini zile skintight ndefu za nyeupe na simple shoes za blue mie na nywele Huwa amazing basi Sasa sijavaa vibaya
Kama story yako ni ukweli, hao jamaa ni mambulula kwerikweri (kwa ile sauti).Dear Sasa wanaume ,mnachosha .
Nilifanya interview mahali ila ilikuwa Niya private sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli.
Swali la kwanza umeolewa hapana Kwa hiyoo unaweza pelekwa popote naomba mquote Hili nikajibu ndio.
Unamiaka mingapi mmh yakawaida wakaandika wanajua na wanamaelezo yote ..
Haya nikapita baadaye yapili nikapigiwa nikapita Ile ya mwisho nikapokea Simu kumbe ni manager .
Mamboo nitakupitisha ila mpaka unikubalie nitakunyima kazi kama hutokujq chumbani kwangu nikasema nipitishe tu jamani nione kama upo serious akadai hapana mwisho wakila kitu baada ya miezi kadhaa mtu wa huko akasema umekatwa jina maana ulimbania manager kweli???
Haya ndio maana sijapata walahi ngoja ataona .
Nilimrekodi kamwaga mchele na mwaga mboga ngoja tu ipite xmass walahi mxiuuu.
Wanaume mnachosha mnaweka wasiojua lolote manawaacha wanaojua kampuni ikifilisika mnabaki mnashangaa ndio maana hatuendelei Ki
😅Ila ni handsome
Sijui ni wwe au mwingine alishakuja na mada kama hii kuombwa rushwa ya ngono apate kazi..
Ni hivi!! Wanaume tumekuwa wapumbavu sana na too obsessed with sex ,kila unayemuona unawaza ngono tu yaani story za maana hakuna si wazee wala vijana na wapumbavu,Nakaa na watu wako kati ya miaka 45 mpaka 50 sehemu ya kazi wengi kama matahira ukiachana na wale swala tano na watu wa kwenda kanisani waliobaki ni ujinga tupu...Ngono iko overrated sana story izo izo kila mda .
Kama wanawake utakula wangapi wengine Wana mikosi ,wapo wanaokuja maishani mwako kama dada zake ,marafiki na washirika katika biashara zako..kwa nn iwe ivyo kila mwanamke unataka kumvua nguo?
Pole sana sister ndo vijana wa ovyo hata kama ana elimu lakini maadili na kukosa hofu ya mungu imemfanya mtu kukunyima haki yako ya msingi.
Tutamwelekeza mwamba afungukeYanini??
Ila ni handsome ila mie siwezagi kutoa rushwa labda aje tu aseme nimevutiwa nawewe ila kufanya penzi Kisa kitu Fulani hapana
Hawa please seriousWa humu wakoje kwani?