Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 739
Leo mchana wakati napata lunch katika moja ya mgahawa katika jiji la Arusha nilisikia wanawake wawili walioketi pembeni yangu wakipiga stori mbalimbali za mapenzi.
Nikasikia mmojawao akilalamika kuwa mister wake huchelewa sana kufika kileleni wakati wa kuduu na mwenzake akaanza kumpa moyo kuwa mwanaume kama alivyo mwanamke asipoandaliwa vyema basi huchelewa kufika au kutokufika kabisa na akampa mbinu mbalimbali jinsi ya kumuandaa mister wake kabla ya tendo.
Binafsi niliposikia mwenzake akimwambia kuwa labda huenda hamwandai mume wake vizuri nilishtuka sana na kujiuliza hivi wanaume nao huandaliwa kabla ya tendo?
Binafsi kwa upande wangu sijawahi kuandaliwa na mpenzi wangu, mara zote mimi huwa ndo namuandaa na akishakuwa tayari basi na mimi najikuta nipo tayari na hapo mtanange huchukua nafasi yake.
Hebu wanaume wenzangu wahumu JF nielewesheni juu ya hili, je nyie huwa mnaandaliwa na wake zenu au wachumba kabla ya tendo? Au huyu dada aliyekuwa anamwelezea mwenzake alikuwa anataka aonekane hodari tu mbele ya mwenzake? Au haya mambo yapo ila mpenzi wangu ndo hayajui?
Maoni yenu tafadhali kwa wenye wachumba na walioko kwenye ndoa juu ya hili la kuandaliwa wanaume.