Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Pamoja na yote, mbupu ni very delicate. Maji, sabuni na vidole/mkono vinatosha sana kuziosha ziwe safi bila harufu. Muhimu ni usafi endelevu.
Mmmmh achaa sababu zako zisizo na msingi
 
Shost watu wa aina hiyo ndo level zako
 
Wewe unakua unatafuta nn huko uvunguni? Wewe cheza na abdala kichwa wazi inatosha huko uvunguni hakukuhusu
 
Hata ungesema asilimia 99 mm ningebaki kwenye asilimia iyo moja vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…