Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Asee nimekubali data zako😂😂😂😂
 
Mkuu, kweli unataka tusugue mbupu? Unajua jinsi gani zilivyo delicate? Yaani kwa jinsi zilivyokuwa soft halafu tusugue na dodoki tena kwa nguvu, hutupendi na wala hutaki ulalwe vizuri...
Kuna vitambaaa laini vya kuogeaaaa sio lazimaa brush la miguu
 
Yaaan urud saa 2 usiku umechokaa na bado ukaanze kuaangaliaa lijitu zimaa kama limeogaaaa achana naye huyo hajielewi
 
Alichukua sample katika mikoa 10 na kila mkoa alifanya utafiti na watu 50 kwahiyo utafiti wake ni sample ya watu 500.
 
I wish ungenijuaa na ungejuaa hao watu hapa nazungumziaa in general wanaume wengi huko uvunguni paipo jikunjaa hampagusagi
sample yako umeichukulia kwa wanaume wangp?huenda unaotaja hawako huk,kuna mdau moja hapo juu kaeleza vizur tu
 
unakutana na wasiosugua n akujua kujisafisha...kikao kizima mnakutana tu na wa hivo...poleni angalieni mnavochagua watu wa kugegedana nao
 
Kuna vitambaaa laini vya kuogeaaaa sio lazimaa brush la miguu
Pamoja na yote, mbupu ni very delicate. Maji, sabuni na vidole/mkono vinatosha sana kuziosha ziwe safi bila harufu. Muhimu ni usafi endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…