Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Hahaha mkuu mimi nataka kuona maoni tu ili nipate kujifunza. .sina dhamira hiyo uliyoisema. ..

Nipo mkuu habari ya Masiku
Hahaha we Jamaa upo! ??

Kama kawaida unataka kuchonganisha watu enhe! ??
 
ulikuwa umefungiwa wapi binti, mbona uliadimika sana
 
Ni kweli kabisa. Wanaume wako careless sana kwenye swala la kusafisha huko chini.
Unakuta kaka mzuri msafi lakin inama kwa chini sasa ndio utajuta kilichokupeleka
Preach baby preach wakiambiwaa wanakujaa juu
 
Huyu dada Fa**ra sana! Maniner
, aje na utafiti wao huo
 
Hiyo ndio kazi yenu kabla ya 6 kwa 6 mnaleta ka taulo unasafisha vizuri pana kuwa fresh nitafute pesa nikupe nikusugue halafu ushindwe kusafisha makende yangu kweli?
 
Hahaha mie sio mgeni na wewe !!?

Ebhana tunashukuru maisha yanaendelea na mungu anatusimamia aisee!!
 
hao ndio type yako usitusumbue sisi alaaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…