Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Sijui hata wanawake tunafeli wapi?

Why not take your man to the damn bathroom and scrub the damn scum off the balls?

Cha pili ina maana hatujui anatomy ya pumbu? Joto...jasho sababu ya location ?

Ndo maana kunakuwaga na ku freshen up sababu mtu katoka kwenye pirika huko lazima sweat kidogo ihusike.

Wanaume sio kama sisi ambao lazima tunawe kila tunapojisaidia. Wao wakisha shake after use inatosha mpaka baadae wakioga wakisharudi home.
 
Mmeo kama yuko hivyo usijumlishe wote. Uje ulambe uone
 
kwanza my dear wakubali kwanza kuwa huko chini hawapakumbuki and most of them wakioga wanajimwagiaa tu maji then wanasepaa they dont use brush kujisuguaa wao ni mbio mbio tu tena usiombe ukutane na mfanya biashara asiyekaa ofisini doooh and kuhusu sisi wanawake unajuaa kabisa wanaume wanajifanyaa hawanaga tym na wake zao wakiwa nyumban ndo maana wanaawachaaa
 
Hahahahahahhahahahaha ngoja upopolewe mawe...... Hebu na mie nichunguze maana nahisi sijawahi kutana na wa hivyo
 

You did not get my point.
 

Aisee
 
Hahaha Jf raha sana
 
Ni kweli kabisa. Wanaume wako careless sana kwenye swala la kusafisha huko chini.
Unakuta kaka mzuri msafi lakin inama kwa chini sasa ndio utajuta kilichokupeleka
 
sawa tupo njiani tunakuja huko PM.
 
Ww huwa unamwogesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…