Hivi wanatuonaje hawa ?

Hivi wanatuonaje hawa ?

Unaaibisha wa haya shemeji zangu KIAZI wewe
The way way to deal with this idiots is to ignore them. Huwa nashangaa sana unakuta watu wanakazana ku-tag wajinga kama hawa. Ni kweli, ni ngumu sana kuacha kujibizana nao, lakini wangekuwa wanakosa attention yetu wasingeonyesha upumbavu wao.
 
Back
Top Bottom