Hivi wanaokuwa na mke zaidi mmoja wanawezaje kuishi nao.

Aisee kuwa na mke zaidi ya mmoja ni raha sana maana wanakuwa wanashindana ukilala kwa mmoja ataakikisha anakupikia vizuri anakupeti peti na kukupa unyumba wa nguvu ili kumzidi mwingine na ukirudi kwa mwingine hivyo hivyo. Ukiwa na mmoja anafanya business as usual maana hana mshindani. Sijui unanielewa lakini?
Hehehe nahisi hii kauli itakuwa inahusika "survival of the fittest" by darwin
 
Kuishi na wake zaid ya mmoja

Katika ushindani....

1. kifo njenje .....madawa, maigizo nk

2. chuki baina yao....visasi vya chinichini kwako mpaka kw watoto

3. Huduma ya tunda less effective...maana kila siku wewe nikupanda tu....ukilegea wamekupandia wenzako...

4. pressure hazikuishi kwa vimaneno

nk

mmoja ndio mpango mzima
Well answered
No comment.
 
As long as unajiweza kuishi na wake wawili ni rahisi, endapo tu pale utakapotambua thamani yao na kuheshimu ndoa yako
 
Back
Top Bottom