nimekua nikifatilia comments nyingi za watu facebook na hata huku JF..na hua nakutana na haya maandishi 'lol' kwa watu wengi..je haya maandishi yana hulka ya mwandishi ni mwanamke??nawasilisha..lolo teh teh teh.
Kuna midume huwa wana andika
hata ww hufahamu....soma reply ya jaluo nyeupe itakusaidia...Kuna midume huwa wana andika
asante umekua mtu wa kwanza kuchangia na ukamaliza kila kitu...vinavyofuata na mbwembwe tu!!LOL = anamaanisha amecheka kwa sauti/sauti ya juu......LOL!
Laughing Out Loud pia inatumika kama kifupisho cha Lots Of Love so sioni ujinsia hapo.